Hizo lami kila serikali itajenga na inatakiwa ijenge maana pesa ni za wananchi sio za viongozi.Hizo lami amejengabkwenye utawala wake mkiitwa mataga mnakataa
hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,Hizo lami kila serikali itajenga na inatakiwa ijenge maana pesa ni za wananchi sio za viongozi.
simlilalamika kuzimiwa mike mbona Zenji mumezunguka na form mfukoni?Wewe ulitaka kila anachofanya aripoti kwako? Mumeishiwa hoja tu
Wewe mbona kuandika tu kwa ufasaha hujui unaanza na herufi ndogo, ina maana hutakiwi kuwa JF?hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Hata Kama kajenga kwenye utawala wake, yeye ni msimamizi tu. Wa kupewa heshima ni watoa pesa, sisi wananchi walipa kodi. Bila kodi zetu hakuna ambacho kingefanyika.Hizo lami amejengabkwenye utawala wake mkiitwa mataga mnakataa
Elimu za MEMKWA hizo mkuuWewe mbona kuandika tu kwa ufasaha hujui unaanza na herufi ndogo, ina maana hutakiwi kuwa JF?
Hakina ofisi lakini kinawakuna vipi siku kikiwa na majengo yake?hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
hawana ofisi nyaraka zao wanatunzia kwako?hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Unalalamika , unalia au unauliza ?Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...