Wewe ndie una chemka. Lissu alikwenda ZanzibarLeo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Mbona Magufuli hazunguki, yeye wadhamini anawapataje?Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Tusisahau kuwashukuru raia wa nchi za Ulaya na Marekani , nao wametoa pesa zao hapoHata Kama kajenga kwenye utawala wake, yeye ni msimamizi tu. Wa kupewa heshima ni watoa pesa, sisi wananchi walipa kodi. Bila kodi zetu hakuna ambacho kingefanyika.
Ni Kodi yake imefanya kazi, siyo fadhila au zawadi. Hastahili kushukuru kwani kilichofanyika ulikuwa ndo wajibu was serikali. Kwanza ilitakiwa kufanya zaidi.Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Wewe kweli huna akili badala ya kumuuliza yeye mwenyewe au Jaji aliyemwapisha, unatuuliza sisi wa JamiiForums. Zanzibar yote inazungukwa kwa masaa tu, ondoa unaa.Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Wewe hizo of is zimekusaidia nin ngoja lissu achukue usukani mtatueleza mlizipataje otherwise zitakuwa nationalisedhawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Yani reference yako ni hill karai ambalo tunaenda kuligaragaza ili liendelee na kumuibia mamake hela za kusitaafu uwalimu.Aende Zanzibar ili awafungue macho wikina Amsterdarm na mabeberu wengine kuwa hakubaliki.? Jamaa ni mjanjanja flani hivi. Tafuta clip ya Patrobas Katambi ndio utalielewa vizuri hili tapeli la kisiasa..
ccm wana laana. ofisi zijengwe na watanzania wenyewe wamejimilikisha. wajinga wengi huko lumumbaWewe hizo of is zimekusaidia nin ngoja lissu achukue usukani mtatueleza mlizipataje otherwise zitakuwa nationalised
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Yani reference yako ni hill karai ambalo tunaenda kuligaragaza ili liendelee na kumuibia mamake hela za kusitaafu uwalimu.
Lami zilikuwepo toka enzi za kikwete wewe, pia unajua kuwa JPM kashamaliza suala la wadhamini jiulize hiyo mikoa kafikaje wakati deile yupo DomLeo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Lisu kule sokoni Tarime na njiapanda kule Mwanjelwa alikuwa anafanya nini?Lami zilikuwepo toka enzi za kikwete wewe, pia unajua kuwa JOM kashamaliza suala la wadhamini jiulize hiyo mikoa kafikaje wakati deile yupo Dom
Mkuu ccm wanaofisi nzuri kila Kijiji,kila wilaya,mkoa na taifa,tusaidie,hizo ofisi zimechangia vipi kwenye ujenzi wa barabara zetu au kwenye kuongeza kipato cha mwanaccm achilia mbali mtanzaniahawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Kazi hiyo inaweza kufanywa hata na wenyeviti au makatibu wa wilaya wa chama. Lakini kama mgombea wenu ana kiherehere anaweza kwenda mwenyeweKwani Magufuli kaenda wapi kuchukua wadhamini ?
Kachukua hapo lumumba ccmLeo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...