Uchaguzi 2020 Lissu akwepa kwenda Zanzibar, hao wadhamini kawapataje?

Kazunguka nchi nzima bila kukanyaga barabara ya vumbi lami mwanzo mwisho
Acha ushamba kijana, ni haki ya serikali yoyote kujenga miundombinu ya nchi yake hata angekuwa Mzee Spunda lazima angejenga !.
 
Mtoa mada atakuwa kakimbia mbio za marathoni sio kwa michambo alopata
 
Labda atakapomaliza kipindi chake (miaka 10) utayaona matunda yake, atakaepokea kijiti 2025 awe na uzalendo wa JPM ili mambo yaende ama vipi tuweke kiraka kwenye katiba
 
Mi nipo zenji huku tulimuona mwinyi, maalim seif pamoja na Membe tu, hao wengine hawajafika kabisa huku sio Tundu pekee.
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?..
kuwepo kwa lami Ni Kodi zetu ikiwemo na Kodi ya Lissu pia.But kuhusu nzazibar huo ni utaratibu wa chama kuona ni namna gani watawapata wadhamini njia zipo nyingi.
 
Hata huko songea hakufika ila alipata wadhamini zaidi ya 600
 
HIVI KWANINI LISSU ANAWANYIMA USINGIZI, SI MNAUAMINISHA UMMA KWAMBA CCM INAPENDWA MBONA KILA SIKU LISSU HAWATOKI MIDOMONI MWENU? UKITAKA KUUONA UCHI WA KUKU SUBIRINI UPEPO UJE NDO MTAJUWA KAMA NGUVU YA UMMA IKOJE KAMA OCTOBA 25 2015 TULIFUNGA MASOKO NA HUDUMA NYINGINE ZA KIJAMII NA KIUCHUMI BASI AWAMU HII ITAKUWA MARA 1000.
 
Ndio maana JF waliweka jukwaa lake. Hapa ni siasa tu. Lissu kaenda na moja kichwani angekanyaga Zenj tu bills zote za mabeberu zingesimamishwa. Kanununi ya yule ami
 
Patrobasi katambi yule mme wako?? Mda wote unawawaza wanaume, na utazalishwa sasa hawamu hii.
Aende Zanzibar ili awafungue macho wikina Amsterdarm na mabeberu wengine kuwa hakubaliki? Jamaa ni mjanjanja flani hivi. Tafuta clip ya Patrobas Katambi ndio utalielewa vizuri hili tapeli la kisiasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…