Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


Ni aliyepata kuwa mlinzi mahsusi wa JPM bwana Oscar.

Jamaa ni bomba na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Keep RIP JPM!
 
Lissu hakumaniisha huyu
Kuna Mlinzi Black wa Jiwe, Covid-19 limalizana nae, akazikwa Moro
Wa Moro alikuwa naibu katibu mkuu wa raisi, baadaye akawa katibu tawala mkoa wa Mara alizikwa kwao kilosa morogoro, msaidizi wa kijazi. Kwa vile walikuwa wanajua Siri nyingi za nchi yeye katibu mkuu kijazi na makamu wake ilibidi waondolewe. Wangebaki ingekuwa sintofahamu. Sasa hivi msoga nganga wanagawana pesa Kama njugu, za Symbion or Richmond 356billion. Na bado makinikia.
Hii safu yote iliondoka, tiss wenzao waliwaondoa kupisha taaruki wakimwondoa JPM.

Screenshot_20220502-232151.png


Screenshot_20220502-232116.png


Screenshot_20220502-232039.png
 
Wapi kamsingizia sasa??
Internet ni Mungu II ngoja tuweke hiyo video ya Lissu akiongea na mwandishi wa VOA kuwa "ile njemba nyeusi tii, pandikizi la mtu yenye macho madoogo mlinzi wa Magufuli....tayari kafa kwa Covid" by Tundu Antipasi Lissu ft. Amsterdam
mwanasheria mbobevu anashindwaje kuchunga matamshi yake!!!
 
Back
Top Bottom