Hawa majamaa Huwa wananitatiza sana kiwaelewa...hivi kua mwanaccm n lazima uwe mbumbumbu au ninkujitoa ufaham??Hahahaahahha!
Daaaah! Kweli CCM mmechanganyikiwa!
Hivi hizi nyuzi mnapewa mpost au?
Yaaani kwa namna Lissu alivyotawala positively kwenye social media zote jana tu leo kweli unakuja na haya mashudu???π π π
Kweli CCM mmeishiwa!
Hawasikitishi tu. Wanatia hadi hurumaHawa majamaa Huwa wananitatiza sana kiwaelewa...hivi kua mwanaccm n lazima uwe mbumbumbu au ninkujitoa ufaham??
Naongelea Jamii ForumsYaaani kwa namna Lissu alivyotawala positively kwenye social media zote jana tu leo kweli unakuja na haya mashudu???π π π
Hata Jamii Forums tu, Lissu ameshika hatamu.Naongelea Jamii Forums
Baada ya hotuba ya jana nilitarajia kuwe na maelfu ya comments za supporters na pages kibao na likes kibao lakini hamnaPole sana mkuu
Ulitaka wazungumzie nini kwani?
Lissu mvuto umepungua baada ya watu kurudi kwenye sense zao uchaguzi ulipoisha. Ile character assassination aliyomfanyia Mbowe wengi imewasikitisha sana.Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti
Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?
Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno
Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments
Sababu ni nini?
suala la kuombaomba kuchangiwa pesa za pocket money kila mara bila kua na mipango mikakati ya kujitegemea mbeleni kumepoteza imani za wafuasi wake wengi na kuona kwamba kumbe muungwana ni kibaka na mlaghai wa kisiasa tu ndio maana anapuuzwa tuNimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti
Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?
Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno
Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments
Sababu ni nini?
Wewe mwenyewe umefungua uzi unaomuhusu Lissu then unashangaa!Naongelea Jamii Forums