Lissu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu Jamii Forums alikuwa akipata support maelfu sasa anapata kiduchu kulikoni?

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti

Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?

Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno

Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments

Sababu ni nini?
 
Hahahaahahha!

Daaaah! Kweli CCM mmechanganyikiwa!

Hivi hizi nyuzi mnapewa mpost au?

Yaaani kwa namna Lissu alivyotawala positively kwenye social media zote jana tu leo kweli unakuja na haya mashudu???😅😅😅

Kweli CCM mmeishiwa!
 
Hawa majamaa Huwa wananitatiza sana kiwaelewa...hivi kua mwanaccm n lazima uwe mbumbumbu au ninkujitoa ufaham??
 
Pole sana mkuu
Ulitaka wazungumzie nini kwani?
 
Pole sana mkuu
Ulitaka wazungumzie nini kwani?
Baada ya hotuba ya jana nilitarajia kuwe na maelfu ya comments za supporters na pages kibao na likes kibao lakini hamna

Dominatoon yake humu Jamii Forums imeporomoka ghafla kiwango kikubwa mno toka kapata uenyekiti
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti

Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?

Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno

Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments

Sababu ni nini?
Lissu mvuto umepungua baada ya watu kurudi kwenye sense zao uchaguzi ulipoisha. Ile character assassination aliyomfanyia Mbowe wengi imewasikitisha sana.
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti

Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?

Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno

Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments

Sababu ni nini?
suala la kuombaomba kuchangiwa pesa za pocket money kila mara bila kua na mipango mikakati ya kujitegemea mbeleni kumepoteza imani za wafuasi wake wengi na kuona kwamba kumbe muungwana ni kibaka na mlaghai wa kisiasa tu ndio maana anapuuzwa tu :NoGodNo:
 
Moderator, muwe mnaziunganisha mada za huyu jamaa na yule mwenzake Malaria 2. Maana siku zote maudhui yao ni yale yale ya Lissu sijui kapoteza mvuto! Na bla bla nyingine.

Wasomaji huwa tunachoka kusoma hizi takataka zinazojirudia.
 
Back
Top Bottom