Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti
Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni?
Toka uchaguzi umepita ushawishi wa Lisu Jamii forums umeporomoka tena kwa kiwango cha juu mno
Uzi wowote ukianzishwa wa alichoongea Lisu support na Likes chache mno na pages chache tu za comments
Sababu ni nini?