Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

Tanzania ina watu wa hovyo sana wanaojiita wanaharakati sasa dini yangu imeengiaje hapa si mlikuwa mnashangilia kuwa Lissu, atawafundisha sheria kiko wapi?

..tayari kuna mashahidi wa serikali wameshatoa ushahidi wao dhidi ya TL.

..sasa unadhani Cdf, Igp, na Dci, wana kitu gani cha ziada ambacho hakijaelezwa na mashahidi wa upande wa mashtaka waliofika mahakamani?

..kama Cdf, Igp, na Dci, wangekuwa mashahidi muhimu hudhani kwamba upande wa mashtaka ungekuwa wa kwanza kutaka wafike mahakamani?

..Kwasababu upande wa mashtaka haujawaita Cdf, Igp, na Dci, maana yake hawana msaada wowote ktk ushahidi dhidi ya Lissu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Watu wa aina hii ya mleta mada Nyerere aliwaita WAPUMBAVU , kwa hiyo Lissu alifanya uhaini? Unaelewa maana ya uhaini? Mungu atawaonyesha ukuu wake siku si nyingi, mmeua ndugu zetu wengi oktoba 29, mmeteka na kumwaga damu nyingi zisizo na hatia ili tu msalie madarakani. Mwisho wenu umefika.

#Wapumzike kwa amani ndugu zetu waliotangulia oktoba 29
 
Lissu anajua wakina Kingai lazima watakuwa hostile, na wakiwa hostile ndio Lissu atawafanyia Cross Examination.

Lissu anajua hawezi kuwafanyia Cross Examination wakina Kingai wakiwa kama mashahidi wake.

Lissu kuwaita wale kama mashahidi wake ni mtego tu, hakuwa akimaanisha hivyo!.
 

Mashahidi wa mshitakiwa wakimgeuka mshitakiwa siyo kwamba eti imeishia hapo, wanakuwa treated kama hostile witnesses na mshtakiwa anaanza kuwagonga kisawasawa ili kupata anachokitaka. Usidhani mambo ni rahisi kihiiiivyo ulivyoandika.
 
Tusubiri kuona miujiza ya Kingai kumtetea Lissu ashinde kesi badala ya kumpelekea moto afungwe.
 
Wewe jamaa kweli ni mpumb@vu sana! Huko Palestina, Iran, Lebanon na kwingineko unalilia haki kumbe hapa nyumbani una side na waminyaji wa haki!

Kumbe kwako haki ni kwa ajili ya muislam tu na uovu ni kosa likifanywa na asiye muislamtu?

Huwa naona watu wakikutusi humu unapokomaa na Gaza na hzo jamii za kioslam napuuzia, sasa nimeelewa.
 
"Utter nonsense" - Paul Kagame 2013
 
Litaitwa lini ....
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 10
Well said.

Nimemshangaa sana huyo jamaa yako. Kwa ujumla hajitambui na hajui anasimamia nini.
 
Binafsi nawashangaa zaidi kiakili yoyote mwenye kuhoji kama kweli Lissu amefanya uhaini au lah
Siwaelewi kabisa ‼️

Wanabishana na Katuga au na mwenyewe Lissu❓️
mana
Lissu mwenyewe kakikiri kile anaenda kukifanya ni
uhaini na atashtakiwa kwa uhaini


Sasa wewe Bumunda
unajua Sheria zaidi ya Lissu mwenyewe
mnapenda kuitwa Mayumbu yumbu🫎🫎🫎🫎🫎
 
huyo David McAlister wa EU, si ndio dizaini flani wa huyo kibaraka, au haijulikani?🐒
Mashoga mna wivu sana,...
Hebu twambie we nani anakufunyukua tope la mkundugu yangu...
 
Heche kapotea kishamba 😅😅Mkurya anachimba mkwara huku ana bodyguard
..
 

Naunga mkono Hoja kwa %100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…