Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

Mashoga mna wivu sana,...
Hebu twambie we nani anakufunyukua tope la mkundugu yangu...
kwamba kuna waTz wanamuonea wivu kibaraka kunyakuliwa na David McAlister kinyumba, kiume kiume right?🐒
 
Hujuaji mwingi huku mitandaoni wanatujaza vifungu kibao ila mbele ya katuga sijui vifungu vinapoteleaga wapi! Yani kama katuga asingekuwepo wangetudanganya sana.
Elimu ya madrasa imekuharibu, hakuna "hujuaji", kuna ujuaji!
Jina la mtu linaanza kwa herufi kubwa, sio " katuga", bali ni Katuga.
Umeamua kumdogosha huyo "katuga wako" huku unasingizia Lissu kumdogosha!
 
Wewe ndugu Malaria 2 ukiendelea hivi, hakika mabikira 72 utawapata bila wasi.
 
Lissu ilimpasa awaamini mawakili wenzake katika kumtetea kwani wenzie wangejua wapangane vipi na mashahidi au kama ni yy mwenywewe ilimpasa awe nje kwenye dhamana wasingekuwa anatofautiana sana
 
Nilivoona ni shabiki wa Iran nilijua tu akili huna na udini umekujaa!
 
Anyongwi lkn tunataka japo afanane na Nelson Mandela
Miaka 27+ ili yeye awe zaidi ya Nelson 🫎✍️
Kila la kheri, Mambo yanabadilika. Angalieni hiyo miaka 27 jela msikae nyie wauaji na wahalifu wa kweli.
 
Nadhani anaombea wawe hostile ili awafanyie cross-examination badala ya examination in chief
 

Kesi ni nyepesi hata kama mtamtia hatiani na kumhukumu kifo. Waleteni Kingai, Wambura na Mkunda muidikilizie habari yake. Lissu hanyong'onyei.
 
Nadhani anaombea wawe hostile ili awafanyie cross-examination badala ya examination in chief

Cross examination ni lazima. Hapo meza lazima ipinduliwe. Katuga ndiyo atakuwa defense lawyer wao.

Siamini kama watatokea.
 

Ritz mpaka umrtoka mafichoni. Kweli mmepania. Na Dada Faiza yuko wapi?
 
For this mdau you are totally wrong...
I disagree completely with your thread...
 
LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌
Bado hujui "asiyejuwa anacheza na moto", kweli?

Hebu mara moja moja muwe mnatumia vichwa vyenu kujuwa hali mbovu sana inayomkabili Samia Suluhu Hassan; ambaye ndiye mhusika wa haya yote unayojaribu kuyapeleka kwa mtu asiyehusika kabisa.
 
Hujuaji mwingi huku mitandaoni wanatujaza vifungu kibao ila mbele ya katuga sijui vifungu vinapoteleaga wapi! Yani kama katuga asingekuwepo wangetudanganya sana.
Udini unawasumbua nyie mafirauni.
 
Lissu ni mpango wa Mungu mmeshindwa kwa risasi na mabunduki yenu ya kivita mtamuweza kwa maafande vilaza kama akina „yero” hawa? Mwambie kingai anamjuaje Kibatala Sasa anakutana na mwalimu wa sheria patamu hapo, justice Ndunguru kaamua makusudi waje ili tuwatambue, muda utaongea na chawa wote mtakubali matokeo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…