Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

We jamaa kweli ni bwege sana, kichwa chako hakina uwezo hata kidogo kuchaka mambo. ๐Ÿ—‘๏ธ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿ—‘๏ธ ๐Ÿšฎ
Hahahha Bavicha kachefukwa nimemjibu punguani mwenzako alienza kushambulia Uislam badala ya kumkataza bumbunda mwenzako unanishambulia mimi๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚

Kwa Kifupi ni kwamba Ramadhani Kingai amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu na pia amesema yeye ni pamoja na wale watakao shangilia Lissu akipatikana na hatia.

Ni shahidi kuwa Kesi hii mpaka iishe Watanzania mtaona na kusikia mengi.Sisi tuendelee kukaa upande wa haki.
 
Hujuaji mwingi huku mitandaoni wanatujaza vifungu kibao ila mbele ya katuga sijui vifungu vinapoteleaga wapi! Yani kama katuga asingekuwepo wangetudanganya sana.
Hivi nyie hyo kesi mmesikilizia lumumba ? Au maana naona mnampa ushindi katuga ambae anauliza maswali ambayo hayahusiani na kesi yani alionyesha kushindwa kabisa
 
Hivi nyie hyo kesi mmesikilizia lumumba ? Au maana naona mnampa ushindi katuga ambae anauliza maswali ambayo hayahusiani na kesi yani alionyesha kushindwa kabisa
Hahaha si unaona alivyokalilishwa ujinga unajua maana ya cross-examining?
 
 
Salaaleku sheikh... Karibu san mivumoni pale kutakua na dua na pilau mbuzi mujarabu!!
 
Tundu Lissu hujui mwingiโ€ฆ

Mkuu wa Majeshi Afande CDF JJ Mkunda, Mkuu wa Jeshi la Polisi Afande IP Camilius Wambura na DCI Ramadhan Kingai wamekataa kumtolea ushahidi


Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye anatuhumiwa kwa Uhaini, ambapo DCI


Kingai amesema yupo upande wa Serikali hivyo hawezi kuwa Shahidi wake sambamba na IGP, CDF huku


Lissu akimuelewa na kukubaliana nae.

Alikuwa anajua atawafanyia cross-examining hili apate sifa๐Ÿ˜‚
 
Lengo la shahidi ni kuongea ukweli anaujua juu ya jambo fulani. Sasa DCI na hao wenzie hawana chakuongea nahis lisu alijua tu subiri kwny final uone atakavyo pita km kimbunga
 
Naona unajicontradict kama shahidi wa Jamhuri.
Umesema hakutarajia kama atakutwa na kesi ya kujibu. Sasa mbona mashahidi wake wa utetezi alishawataja awali kabisa kabla ya uamuzi wa kuona anayo au hana kesi ya kujibu? Angekuwa hatarajii kesi kufika huku kwenye utetezi, angewezaje kuwataja mashahidi hao?
 
Wewe ndiyo unajicontradict
 
Lengo la shahidi ni kuongea ukweli anaujua juu ya jambo fulani. Sasa DCI na hao wenzie hawana chakuongea nahis lisu alijua tu subiri kwny final uone atakavyo pita km kimbunga
Naona Bavicha mnajiliwaza ๐Ÿ˜‚
 
Wewe naye hamna unalolijua
 
Watu wapo serious kwa lipi,? Wizi na mauaji?
Huyu lisu kaponea chupu chupu kuuwawa! Alipigwa risasi 19? Au bro ubongo wako ni wa kuku hukumbuki?
What difference does it make now, new forest the same monkeys(ccm regime)!
 
Pamoja na kesi hii kuwa na ushabiki wa kisiasa, kufuata mkumbo na yanayofanana na hayo, jambo muhimu na la msingi ni uamuzi wa mahakama kuwa na mantiki.
Watu wenye akili timamu wanajua kweli na haki iwe mahakamani au nje.
Tunahitaji kuweka kumbukumbu chanya ndani na nje ya nchi, kwa kizazi hiki na vijavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ