Lissu alishamaliza kazi yake tokea mwezi wa tano

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.

Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri.

Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili.

Huku mtaani moshi unaotoka ni ule wa kijivu kabisaa ni ule ambao ukisogezea au kurushia njiti ya kiberiti. Kunalipuka moto.
 
Nasemaga kila siku humu..Mtaani kimenuka huwezi pita mahali usisikie watu wana mcondemn bi chura!

Hali ni tete watawala msidharau binafsi nisingependa haya machafuko nnayoyaona yanakuja vijana wana hasira mnooo yani sijui huyu mama anashauriwaje?Kwamba Watanzania ni waoga?kweli?

Anaingia kwenye uchaguzi wa aina hii kwa faida ya nani huyu mama?Alafu atawale watanzania kabisa.?Haiwezekan mlio karibu nae jaribuni kumshauri!
 
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.

Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri.

Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili.

Huku mtaani moshi unaotoka ni ule wa kijivu kabisaa ni ule ambao ukisogezea au kurushia njiti ya kiberiti. Kunalipuka moto.
na ndio maana chalamila na muliro imebidi wawe wapole, wanaongea bila jazba na ubabe kama kawaida yao, wanajua wakiongea kibabe wataharibu zaidi. Hali ni tete na busara na hekima inahitajika kuongelea sakata lile, pana shughuli pevu kuelekea uchaguzi mkuu
 
Kumuweka Lissu ndani ili tu uchaguzi upite salama kwa kuwa alitamka kukinukisha ni kazi bure, hata wengine wanaweza kukinukisha kama matakwa yao yasipofanyiwa kazi. Hata bila Lissu wananchi wana mahitaji yao wanataka yafanywe. Lissu aliwapa alert tu washituke wafanye yale wananchi wanataka
 
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.

Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri.

Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili.

Huku mtaani moshi unaotoka ni ule wa kijivu kabisaa ni ule ambao ukisogezea au kurushia njiti ya kiberiti. Kunalipuka moto.
Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri😂
 
Lissu ametimiza wajibu wake kwa watanganyika.
Kilichobaki niwatanganyika kutimiza wajibu wao
October no election
 
Tarehe 29 vijana amkeni. Hakuna kulala, wakati wahuni wanazidi tu kuifilisi nchi. Msikubali kuja kuwa watumwa kwa mara nyingine tena kwenye nchi yenu. Pambanane ili muwaondoe wakoloni weusi.
 
Kwahio haya ni Mapambano ya Lissu na sio Mapambano ya kinachoongelewa na kinachowagusa wenye nchi i.e. wananchi ?

Watu kama nyie mnaendelea kucheza mulemule kwa watawala na mwisho wa siku mnashangaa kutokufanikiwa (nguvu zenu zinakuwa distributed kwa Divide and Rule)

Hakuna mtu ambaye hakumbwi na maisha magumu, matatizo ya ufisadi, kukosa mahitaji muhimu na utawala mbovu (ila sio wote wanaokumbwa na hayo ni wafuasi wa Lissu au CHADEMA) Mpaka pale mkiweza ku-package matatizo yenu katika umoja na kuwa na common goals / enemy (hapo enemy ni umasikini, ujinga na maradhi) tutaendelea kuwa wafuasi wa watu na Status Quo kubadilisha chupa wakati mvinyo ni ule ule
 
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.

Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri.

Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili.

Huku mtaani moshi unaotoka ni ule wa kijivu kabisaa ni ule ambao ukisogezea au kurushia njiti ya kiberiti. Kunalipuka moto.
so kama kile kisa cha yesu na mdau wa shamba la mizabibu
 
Back
Top Bottom