Uchaguzi 2020 Lissu alishapoteza sifa za Kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Lissu alishapoteza sifa za Kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Wale tushawazoea hawana sifa ni opportunist, alikatwa CCM anakimbilia chadema ,kwenye kura akashindwa na kurudi CCM, kwahiyo kauli zao ni za kuchafua tu
Hapo kuna hoja gani????

Refer comments za mhe sumaye alipotoka chadema..

Alisema mtu akitaka kugusa nafasi ya ......nini kinatokea....!
 
Hapo kuna hoja gani????

Refer comments za mhe sumaye alipotoka chadema..

Alisema mtu akitaka kugusa nafasi ya ......nini kinatokea....!
Kiufupi nikwamba ushindani wa hoja hamuwezi. Nguvu zenu zipelekeni kwa vyombo vya dola halafu mje mjisifu tu hapa.

Kwani membe alipotia nia ya kutaka kugombea Urais kupitia ccm alifanywaje.
 
Huna lolote ni unafki na uchonganishi tu vimekujaaa! Eti mpango mkakati na wewe uliandika kwa mbaliii! Shame on u!
 
Maandiko yako yote huwa yamebeba kuhisi na kusadikika mambo ya CHADEMA waache wenyewe wewe hangaika na yako upate ugali wako,au unalipwa kwa kuanzisha uzi humu JF?
 
Kiufupi nikwamba ushindani wa hoja hamuwezi. Nguvu zenu zipelekeni kwa vyombo vya dola halafu mje mjisifu tu hapa.

Kwani Membe alipotia nia ya kutaka kugombea Urais kupitia ccm alifanywaje.
We nawe....kumbe hata siasa hujui.

Hujui Membe alivyoonesha demokrasia ya hali ya juu....

Vikao vilikaliwa, akapatikana mmoja wa kupeperusha bendera.


Sio nyie mnakomaa na Mbowe kama mwenyekiti miaka yote...

Mpeni hata Mnyika basi uenyekiti... shubamiiit mnakera sana mjue.
 
Maandiko yako yote huwa yamebeba kuhisi na kusadikika mambo ya CHADEMA waache wenyewe wewe hangaika na yako upate ugali wako,au unalipwa kwa kuanzisha uzi humu JF?
Usije shangaa mgombea urais akawa kijana Aikael
 
We nawe....kumbe hata siasa hujui.

Hujui membe alivyoonesha demokrasia ya hali ya juu....

Vikao vilikaliwa, akapatikana mmoja wa kupeperusha bendera.


Sio nyie mnakomaa na mbOwe kama mwenyekiti miaka yote...

Mpeni hata mnyika basi uenyekiti...shubamiiit mnakera sana mjue.
Democracia ya kufukuzwa ndio unayoizungumzia.

Ni siasa gani hizo unayoizungumzia?
 
Lazima muogope na kujamba jamba. Mwaka huu hamponi

FB_IMG_15911530205235763.jpg
IMG_20200531_224801.jpg
IMG-20200520-WA0033.jpg
IMG_20200506_061059.jpg
 
Hakuna mahali katika hiyo miaka Lissu alitangaza kugombea urais bali alisema kama"Chama kitampa nafasi ya kugombea" halafu kuna mtu kama Zitto anasema "Nitagombea urais kwa tiketi ya Chadema 2015"hizi ni kauli zenye maana tofauti kabisa.
Inaonekana ccm wanamuogopa sana Lissu.Lakini kitu cha msingi ni kuangalia ilani ya chama iliyo bora.Hatuangalii mtu in personal bali tunaangalia atatufanyia nini huyo mtu tukimchagua.
Hii hoja ya CCM kumwogopa mgombea wa Urais kutoka upinzani, awe Lissu, Mbowe, au yeyote yule, ni ya kupuuzwa na inatolewa na watu mfilisi kifikra.

Kama kuna wakati CCM ilikuwa mashakani kurudi madarakani ni kwenye Uchaguzi Mkuu, 2015 ambapo chama kilihamwa na kundi la viongozi wazoefu kisiasa kumfuata Lowassa, aliyekuwa ametemwa kugombea Urais na wapinzani wakamsimamisha kama mgombea wao. Lakini, kilichotokea bado ni ushindi kwa CCM.

Kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, hakuna shaka yoyote kuwa CCM itaibuka mshindi toka Udiwani hadi Rais kwa zaidi ya 85%. Baadhi ya sababu ni utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi 2015; Usimamizi uliotukuka wa Rais na M/Kiti wa chama pamoja na viongozi aliowateua; na hasa hasa upinzani kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wakakosa wawakilishi ili kuchochea ushirikishi wa wapiga kura.
 
Hivi wewe Benson, kila kukicha Chadema this, that... si urudi Chadema? au dhamira inakusuta?
 
Mbona mlitaka kumuua?
Ukieleza ni namna gani alipigwa risasi tokea upande wa kushoto zikamjeruhi mguu wa kulia alikokuwa amekaa dereva na dereva hakupata jeraha lolote nitajua Dr. Mollel ni mwongo aliposema alishiriki kwenye vikao vya kumshambulia Lissu akiwa na viongozi wa chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom