Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo Zitto angegombea bila kupewa nafasi na Chama? Lissu alitangaza nia tangu miaka hiyo. Na kwenye ziara yake huko Ulaya na Marekani alikuwa akirudia kutangaza kila nia yake kila maraHakuna mahali katika hiyo miaka Lissu alitangaza kugombea urais bali alisema kama"Chama kitampa nafasi ya kugombea" halafu kuna mtu kama Zitto anasema "Nitagombea urais kwa tiketi ya Chadema 2015"hizi ni kauli zenye maana tofauti kabisa.
Inaonekana ccm wanamuogopa sana Lissu.Lakini kitu cha msingi ni kuangalia ilani ya chama iliyo bora.Hatuangalii mtu in personal bali tunaangalia atatufanyia nini huyo mtu tukimchagua.