Hapo kuna hoja gani????
Refer comments za mhe sumaye alipotoka chadema..
Alisema mtu akitaka kugusa nafasi ya ......nini kinatokea....!
Kiufupi nikwamba ushindani wa hoja hamuwezi. Nguvu zenu zipelekeni kwa vyombo vya dola halafu mje mjisifu tu hapa.Hapo kuna hoja gani????
Refer comments za mhe sumaye alipotoka chadema..
Alisema mtu akitaka kugusa nafasi ya ......nini kinatokea....!
We nawe....kumbe hata siasa hujui.Kiufupi nikwamba ushindani wa hoja hamuwezi. Nguvu zenu zipelekeni kwa vyombo vya dola halafu mje mjisifu tu hapa.
Kwani Membe alipotia nia ya kutaka kugombea Urais kupitia ccm alifanywaje.
Usije shangaa mgombea urais akawa kijana AikaelMaandiko yako yote huwa yamebeba kuhisi na kusadikika mambo ya CHADEMA waache wenyewe wewe hangaika na yako upate ugali wako,au unalipwa kwa kuanzisha uzi humu JF?
Kuna mtu ana kibetri kwenye moyoKwanza atawezaje kuwatumikia watanzania wakati ni kiwete?
Democracia ya kufukuzwa ndio unayoizungumzia.We nawe....kumbe hata siasa hujui.
Hujui membe alivyoonesha demokrasia ya hali ya juu....
Vikao vilikaliwa, akapatikana mmoja wa kupeperusha bendera.
Sio nyie mnakomaa na mbOwe kama mwenyekiti miaka yote...
Mpeni hata mnyika basi uenyekiti...shubamiiit mnakera sana mjue.
Hii hoja ya CCM kumwogopa mgombea wa Urais kutoka upinzani, awe Lissu, Mbowe, au yeyote yule, ni ya kupuuzwa na inatolewa na watu mfilisi kifikra.Hakuna mahali katika hiyo miaka Lissu alitangaza kugombea urais bali alisema kama"Chama kitampa nafasi ya kugombea" halafu kuna mtu kama Zitto anasema "Nitagombea urais kwa tiketi ya Chadema 2015"hizi ni kauli zenye maana tofauti kabisa.
Inaonekana ccm wanamuogopa sana Lissu.Lakini kitu cha msingi ni kuangalia ilani ya chama iliyo bora.Hatuangalii mtu in personal bali tunaangalia atatufanyia nini huyo mtu tukimchagua.
Hii nayo Kali, kumbe Lissu atakuwa rais wa Benson Mramba! Benson jiandae kuhama nchi.Jiandae kuikimbia nchi maana ndiyo atakuwa rais wako
Hana issue huyu mkimbizi na Wala hakuna mwenye time nae. Akija atashangaa watanzania wanachapa kazi na hawana muda na wapuuzi na wahuni wa saccos.Lissu anajisumbua tu....ngoja amiminiwe tena
Wewe inakupunguzia nini akijisumbua?Lisu anajisumbua tu
Hii nayo Kali, kumbe Lissu atakuwa rais wa Benson Mramba! Benson jiandae kuhama nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wako ni kipajiLissu anajisumbua tu....ngoja amiminiwe tena
Ukieleza ni namna gani alipigwa risasi tokea upande wa kushoto zikamjeruhi mguu wa kulia alikokuwa amekaa dereva na dereva hakupata jeraha lolote nitajua Dr. Mollel ni mwongo aliposema alishiriki kwenye vikao vya kumshambulia Lissu akiwa na viongozi wa chadema.Mbona mlitaka kumuua?