Uchaguzi 2020 Lissu alishapoteza sifa za Kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Kwa hiyo Zitto angegombea bila kupewa nafasi na Chama? Lissu alitangaza nia tangu miaka hiyo. Na kwenye ziara yake huko Ulaya na Marekani alikuwa akirudia kutangaza kila nia yake kila mara
 
Aisee vizuri kama ni kweli huyo Dr Mollel aliyaongea hayo basi naona upelelezi utakamilika very soon maana ameirahisishia jeshi kufanya kazi yake
 
Maandiko yako yote huwa yamebeba kuhisi na kusadikika mambo ya CHADEMA waache wenyewe wewe hangaika na yako upate ugali wako,au unalipwa kwa kuanzisha uzi humu JF?
Je huwa hayatokei
 
Benson pole sana kwa yaliyokukuta mkuu, kabla hujafa hujaumbika, nimepata habari zako nimesikitika sana !
 
Kosa kubwa la Lissu ni kule kujitetea Mashoga hatharani. Kuwatetea acacia na makenikia yao. Wako wa dini zote awapendi
 
Mbona una hoja nyepesi sana
Jenga hoja juu ya mwamba ueleweke

Unaongea zaidi unavyotaka iwe sio uhalisia.
 
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. CCM mwanzo walipokuchukua walidhani wamepata kifaa, ila kwa mabandiko kama haya wanajua fika walipoteza hela zao.
 
Chama hiki kinamfia Mnyika mikono mwake.... Karma ya neno dhaifu alilolitumia Bungeni itaanza kumtafuna muda si mrefu....!
 

Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
 
Wewe ni kama fisi anayemfuata binadamu kwa nyuma akitegemea binadamu atadondosha mkono.

Mbona chadema inawaumiza sana vichwa hata wakitulia?
Yeyote chadema itakayempitisha sisi ndo tutamwunga mkono kwahiyo wewe huo upupu wako hauna mantiki
Lissu ana kesi mbili za uchochezi na mahakamani haonekani. Akitua tu bongo anakamatwa.
 
ndio Utakuwa Mwisho wa amani ya taifa ili akiuawa nipo tayari kufadhiri hata kikundi cha kigaidi.
Kama ni Lisu wa MIGA wewe fadhili tu huo ugaidi tena bora uanze sasa kufanya training. HATUMPI KURA
 
Lowasa alitangaza nia kugombea Urais pitia chadema miezi miwili kabla ya uchaguzi.
 
Kwanza atawezaje kuwatumikia watanzania wakati ni kiwete?
Aisee, haya bwana, Kesho yako unaijua wewe? Unaweza ringia uzima ulio nao kesho ukapata ajili ukawa kilema maisha. Watanzania ni watu wenye utu sio namna hii
 
Aisee, haya bwana, Kesho yako unaijua wewe? Unaweza ringia uzima ulio nao kesho ukapata ajili ukawa kilema maisha. Watanzania ni watu wenye utu sio namna hii

Pana watu, kwa roho zao hata shetani anawashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…