Uchaguzi 2020 Lissu alishapoteza sifa za Kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Aibu yako, laana ya kuiba fedha kule Chadema ingali inakuafuata na CCM hawana mpango na wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama Lishe na bar bubu
 
Ahahaaaahaaaaa waacheni wafu wazike wafuwaoo

Tuwaangalie tu vifoo vyaoo
 
Bora ana biashara huyu hafi njaa mkuu sijui kama una ajira serikalini lakini mfanyabiashara wa kumheshimu mpaka unakufa
Aibu yako, laana ya kuiba fedha kule Chadema ingali inakuafuata na CCM hawana mpango na wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama Lishe na bar bubu
 
Huyo jamaa anatafuta njia ya kurudia chadema, lakini nadhani kasha haribu
Aibu yako, laana ya kuiba fedha kule Chadema ingali inakuafuata na CCM hawana mpango na wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu
 
Kumbe bado upo nikajua ulishaila UDC kumbe bado unapiga domo na huonekani nyie wahamiaji ccm kijani wanawanyosha sana pole wewe huwezi hata kumbukwa ukatibu kata
 
Mkono wako unaandika kinafiki nafiki sana.. hujengi hoja ya msingi mara Zitto, Kitila, Waitara mara wewe, dr Slaa which is which hueleweki
 
mkono wako unaandika kinafki nafki sana..hujengi hoja ya msingi mara zitto,kitila,waitara mara wewe,dr slaa which is which huelewek
Mkuu, kama umekuwa ukisoma mabandiko ya huyu Benson baadaya ya chaguzi za ndani za CCM, ni kana kwamba anaomba msamaha arudi tena CHADEMA.

Mwandiko wake umekuwa tofauti sana na mara tu alipoingia CCM.

Inaonekana wajumbe walimkata na hakuteuliwa kuwa mteule kwenye kupeperusha bendera ya CCM kugombea nafasi fulani ubunge au udiwani!!
 
Hii mada uliandika nadhani kabla "wajumbe" hawajakutenda ya kukutenda na kukushikisha adabu!
 
Hapo kuna hoja gani????

Refer comments za mhe Sumaye alipotoka chadema..

Alisema mtu akitaka kugusa nafasi ya ...... nini kinatokea....!
Na nafasi ya jiwe je, Membe alipotaka kuigusa nini kimemtokea??
 
Baada ya Wajumbe kufanya yao na Ujio wa Mh Lisu hapo jana, nadhani sasa kupitia andiko hili unaweza kujitafakar wewe ni mchambuzi wa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…