Uchaguzi 2020 Lissu alishapoteza sifa za Kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Lowassa alichukua muda gani kutangaza hiyo katiba wanaoisoma na kuijua ni wachache kwa kifupi pamoja na kuwa na wanasheria mahili chadema ni chama kinachoongozwa kihuni
 
Haa haa just haa haa..
Kuweka akiba ya maneno kulimshinda Magufuli na MaCCM yakafuata mkumbo.
Muda ni mwalimu mzuri sana, MaCCM yamepoteana. Hayaamini wanachokiona. Mzuka unatembea ndani ya Ardhi ya MALOFA. πŸ˜ƒ

#LISSURAIS2020
 






Vp wewe wajumbe wa ccm umeona walivyokupa spana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…