Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ameshaonyesha hatoshi

Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.

Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.

Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.

Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.

Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.

Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.

Lissu hajui siasa.
 
Fitina ndio njia kuu za siasa, hujui tu hata hilo
Shida yake hajui, mipaka.

Embu kutana na haya mabazazi ya CCM yaanze kukupa umbea wa wenzao na wao wenyewe.

Kama una akili timamu utajiuliza sasa wewe mwenye madaraka unaniadisia mimi ili iwaje.

Seuse mtu kama Lissu kwa nafasi yake anajua mangapi ya ndani ya chama.

Ni ropo-ropo hafai
 
It is too late to catch a moving truck 🤣

atasema yote but it will not help him at all.

Political mistakes na blunders alizofanya Lisu ni pamoja na hiyo ya kuogopa kuwataja anao watuhumu kwa rushwa at first place.

saivi anaonekana anatapatapa tu kama mfa maji 🐒
 
Mbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Taratibu mtaanza kuelewa sasa nyuzi za Pascal Mayalla juu kirusi kilichopo ndani ya chadema.

Ndio mtaelewa kwamba sasa hata ile sign ya kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kule bungeni haikufojiwa kama tulivyoambiwa.
 
Lissu alipigwa risasi na Mbowe
 
Taratibu mtaanza kuelewa sasa nyuzi za Pascal Mayalla juu kirusi kilichopo ndani ya chadema.

Ndio mtaelewa kwamba sasa hata ile sign ya kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kule bungeni haikufojiwa kama tulivyoambiwa.
Ninakuunga mkono, Mbowe amecheza na akili za Watanzania muda mrefu sana
 
Kiongozi wa siasa lazima uwe na kifua na kuweza kuchunga ndimi yako.

Lissu Mchanga wa siasa

Imagine ma-CCM yakianza kuchongeana hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…