TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kumbe zitakua nyingi sana mwaka huuKumbe wenje ni mpuuzi kiasi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe zitakua nyingi sana mwaka huuKumbe wenje ni mpuuzi kiasi hicho.
Amevumilia amechokaKiongozi wa siasa lazima uwe na kifua na kuweza kuchunga ndimi yako.
Lissu Mchanga wa siasa
KheMbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama, kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba watu kama kina Lisu mdomo lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa siku wale waliomzunguka wanatajirika kwa mgongo wa Lisu, No way Lisu hatutaki aendelee tena kuwa Victim na mtaji wa watu wengine wajanja janja pale CHADEMA, either awe Mwenyekiti asimamie mambo na kusafisha Chama au ajitenge nao kabisa Kwa maana ni ngumu mtu kama Lisu kuendelea kuchangamana na wala rushwa au watu wenye hofu ya kukemea maovuUmesema sahihi Mkuu, nadhani yeye pia ameshajijua.
Ila kupitia huu Uchaguzi, ndiyo mengi yatafunguka na kujua rangi halisi za wenzake chamani
Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.Amevumilia amechoka
Raia feki walisha anza kukitia chama cha chadema mikononi mwao bado kiduchu tu wafanikiwe kosa moja tu....raia feki watakuwa wamesha kamata kila kona ya nchiMbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Kuna tofauti ya siri na vitendo vya kihalifuSiasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.
Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.
Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.
Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa.
Hilo suala linafahamika kabisa na wamemuambia ulichokiona uchaguzi mdogo huu ni trailer usipofata tunachohitaji 2025 hutapata Jimbo hata Moja .Mbowe pesa yake aliipata kwenye maridhiano na Mama kapewa na ahadi za kuachiwa majimbo na watu wake kadhaa
Chadema sio chama dola ambacho siri zake zikijulikana zinaweza kuhatarisha usakama wa nchi.Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.
Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.
Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.
Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa.
Ndio maana kuna ‘whistle blowers’ wanaotoa habari; wengine waropoke.Kuna tofauti ya siri na vitendo vya kihalifu
Demokrasia ya wapi hiyo kutaka uungwe mkono na wote!Tukitaka demokrasia ya kweli na sio maigizo Tanzania CDM wote wamuunge mkono TAL.
Siasa zenu za hovyo kwa maana yenu ndiyo zimeifikisha hapa Tanzania na Africa kwa ujumla.Ameshaonyesha hatoshi
Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.
Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.
Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.
Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.
Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.
Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.
Lissu hajui siasa.
Kwani unadhani mabazazi kwenye vyama vya siasa yapo Tanzania.Chadema sio chama dola ambacho siri zake zikijulikana zinaweza kuhatarisha usakama wa nchi.
Chadema inatakiwa kujikosoa zaidi afanyavyo Lissu ili kuvutia kuungwa mkono upya na wananchi.
Kwa hali iliyopo chadema kwasasa ni chama mfu hakiwezi kwenda kokote.
Mwacheni Lissu afanye usafi mgumu na wenye gharama nzito.
Tunapiga u turn ya hatari hadi CHADEMA waje wasimame tena CCM itapumua,Mbowe kwa maslahi mapana ya chama apumzikeAmeshaonyesha hatoshi
Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.
Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.
Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.
Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.
Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.
Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.
Lissu hajui siasa.
The gentleman is completely a looser in everything in politics kwasabb ya mdomo, papara na tamaa 🐒Lissu alipigwa risasi na Mbowe
Mbowe inatosha, Iła sio kwa kumpa chama Lissu. Hana skills za kuongoza, labda Heche.Tunapiga u turn ya hatari hadi CHADEMA waje wasimame tena CCM itapumua,Mbowe kwa maslahi mapana ya chama apumzike
Uhalifu siyo mambo ya chama au serikali .. serikali ni chombo kitakatifu na siasa inatakiwa kuwa takatifu yani vyombo vya HAKI ...uhalifu ni uhalifu ni kosa kuuficha ficha lazima upaziwe sauti ...mbona kipindi cha JPM hao chadema walikuwa wanapaaza sauti dunia nzima kukemea mambo waliyo dai ni maovu tena mambo ya siri za nchi kabisaNdio maana kuna ‘whistle blowers’ wanaotoa habari; wengine waropoke.
Lakini kiongozi utakiwi kusema mambo ya ndani ya chama au serikali.
We bado unaendeshwa na hisia, ukiona watu hawataki kuandamana mnawaona wajinga ila deep down siasa za bongo ni kaole tupulisu ni mfitini wallah