Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umesema sahihi Mkuu, nadhani yeye pia ameshajijua.

Ila kupitia huu Uchaguzi, ndiyo mengi yatafunguka na kujua rangi halisi za wenzake chamani
Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama, kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba watu kama kina Lisu mdomo lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa siku wale waliomzunguka wanatajirika kwa mgongo wa Lisu, No way Lisu hatutaki aendelee tena kuwa Victim na mtaji wa watu wengine wajanja janja pale CHADEMA, either awe Mwenyekiti asimamie mambo na kusafisha Chama au ajitenge nao kabisa Kwa maana ni ngumu mtu kama Lisu kuendelea kuchangamana na wala rushwa au watu wenye hofu ya kukemea maovu
 
Amevumilia amechoka
Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.

Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.

Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.

Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa; vinginevyo utakibomoa chama,
 
Mbona yale majembe Lema, Heche yapo kimya juu hii sintofahamu?..au wanaangalia upepo kwanza?....Nina hakika Mbowe yupo radhi kumuachia kiti kijana wake ila wenje zao ndiyo wamemkalia kooni agombee.
 
Mbowe pesa yake aliipata kwenye maridhiano na Mama kapewa na ahadi za kuachiwa majimbo na watu wake kadhaa
Hilo suala linafahamika kabisa na wamemuambia ulichokiona uchaguzi mdogo huu ni trailer usipofata tunachohitaji 2025 hutapata Jimbo hata Moja .

Lissu yupo katika wakati Mgumu ndani ya Chama chake tu wamepewa shinikizo Kila namna aondoke Chama Sasa wanatumia njia ya uchaguzi huu wakihisi ataondoka..

Refer maneno kadhaa ya wajumbe: "Chadema itabaki imara atakayetaka kuondoka aondoke" n.k
 
Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.

Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.

Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.

Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa.
Chadema sio chama dola ambacho siri zake zikijulikana zinaweza kuhatarisha usakama wa nchi.
Chadema inatakiwa kujikosoa zaidi afanyavyo Lissu ili kuvutia kuungwa mkono upya na wananchi.

Kwa hali iliyopo chadema kwasasa ni chama mfu hakiwezi kwenda kokote.

Mwacheni Lissu afanye usafi mgumu na wenye gharama nzito.
 
Ameshaonyesha hatoshi

Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.

Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.

Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.

Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.

Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.

Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.

Lissu hajui siasa.
Siasa zenu za hovyo kwa maana yenu ndiyo zimeifikisha hapa Tanzania na Africa kwa ujumla.

Siasa si uongo.
Siasa si unafiki.
Siasa si rushwa.
Siasa si mauaji.
Siasa si ushirikina.
Siasa si siri.
 
Chadema sio chama dola ambacho siri zake zikijulikana zinaweza kuhatarisha usakama wa nchi.
Chadema inatakiwa kujikosoa zaidi afanyavyo Lissu ili kuvutia kuungwa mkono upya na wananchi.

Kwa hali iliyopo chadema kwasasa ni chama mfu hakiwezi kwenda kokote.

Mwacheni Lissu afanye usafi mgumu na wenye gharama nzito.
Kwani unadhani mabazazi kwenye vyama vya siasa yapo Tanzania.

Mbona hiko cha mtoto, kuna wanasiasa mpaka leo huko kwenye demokrasia zilizoendelea wanatumika kuwakutanisha wafanyabiashara na mawaziri au civil servants na wanavutq mpunga mrefu tu kwa kazi hiyo. Huku wenzao wakijua.

Ukiona habari ipo mitandaoni ni mmoja wa rafiki yake ka-leak, lakini sio mwanasiasa mwenyewe.

Mwanasiasa lazima ujue kutunza siri ziwe za chama au serikali, umbea wape wengine waseme sio uropoke wewe. That’s political etiquette, uwezi toa siri za ndani.

Politics is a corrupt business
 
Ameshaonyesha hatoshi

Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.

Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.

Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.

Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.

Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.

Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.

Lissu hajui siasa.
Tunapiga u turn ya hatari hadi CHADEMA waje wasimame tena CCM itapumua,Mbowe kwa maslahi mapana ya chama apumzike
 
Nilimpenda sana Lissu lakini nimegundua ni domokaya na hafai kuwa kiongozi.
Kwanini hizi tuhuma asipeleke ndani ya Chama chake kama hoja?
 
Ndio maana kuna ‘whistle blowers’ wanaotoa habari; wengine waropoke.

Lakini kiongozi utakiwi kusema mambo ya ndani ya chama au serikali.
Uhalifu siyo mambo ya chama au serikali .. serikali ni chombo kitakatifu na siasa inatakiwa kuwa takatifu yani vyombo vya HAKI ...uhalifu ni uhalifu ni kosa kuuficha ficha lazima upaziwe sauti ...mbona kipindi cha JPM hao chadema walikuwa wanapaaza sauti dunia nzima kukemea mambo waliyo dai ni maovu tena mambo ya siri za nchi kabisa
 
lisu ni mfitini wallah
We bado unaendeshwa na hisia, ukiona watu hawataki kuandamana mnawaona wajinga ila deep down siasa za bongo ni kaole tupu
Mnaemuona ana busara deep down ni character anayecheza script za walioshika mpini
 
Back
Top Bottom