Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acheni aanike uovu na Wala rushwa bila kujali unafanywa na nani?. Ni either mumchague Mbowe chama kibaki ofisini au mumchague Lissu chama kiende kwa wananchi uchaguzi ni wenu.
Swali la kujiuliza kwa nini sasa? Kwa nini hakumtaja Wenje hapo kabla? Kwa nini hakutangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti mapema kama ana uhakika kuwa Mbowe ni corrupt? Hakuwa muwazi. Chama sio cha wananchi. Chama ni wanachama wake. Wananchi wanakipa afya sio uhai. Tusijidanganye kwenye hilo.

Amandla...
 
Mbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Wala siyo siku mmoja mkuu ni masaa tu...ngoja Mbowe achukue fomu kuna mtanange unaanza soon.
 
CHADEMA ni wala rushwa kuanzia chini mpaka juu. Ambao wamewahi kuwa ndani ya CHADEMA hizi tuhuma haziwezi washangaza. Majimboni huko ndiyo usiseme, wagombe, viongozi na mawakala ikifika uchaguzi wote wanageuka kuwa wafanya biashara wa kura. Rushwa ndani ya CHADEMA hata CCM haifiki
 
Kuna wanasiasa wapumbavu pia na kuna siasa za kipumbavu pia wewe itakuwa unazungumzia wanasiasa wapumbavu na siasa za kipumbavu..maana katika siasa na wanasiasa wapumbavu ndiyo ufuata hiyo kanuni yako...nimesha gundua naongea na mtu mpumbavu pia
Sawa kama unaamini CDM na wenyewe hawajui Lissu anavyotumika na mabeberu wakiamua siasa za ‘mwaga ugali, ni tumwage mnogą’

Utoto mwingi humu jukwaa la siasa.

As for me nakuachia ‘kidałI’ kwangu ‘Pooh’, shinda mpaka nitakaporudi.
 
Mawenge na mchecheto vipo tena namba moja kuwa na hivyo ni ccm
Alisema Lisu mwenyewe kwamba chadema kuna mawenge sana kwa sasa.

sasa,
nadhani kila moja anaona namna ambavyo mawenge yanamzonga, hajui anagombea umakamu mwenyekiti au uenyekiti wa Chadema Taifa 🤣
 
Wewe unatak rushwa iendelee kuchukukuliwa uko ndo uozo wa chama ndani uko nje unapaka mafuta lazima transparency ni muhimu kwenye siasa za chama hiyo sio jambo la kificha
Unadhani kuongea hivi ni kujenga au kubomoa? The moment Lissu amenable huyo jamaa kaongozana na Abdul kwa lengo la kushawishiwa kupewa rushwa alichukua hatua gani kama kiongozi mwandamizi ndani ya chama? Unadhani inasaidia kuutangazia umma kama alivyofanya ikiwa hakuna hatua zozote za kinidhamu dhidi ya huyo mtuhumiwa...

Au kwako caucas za chama zina maana gani?
 
Yaani ukiona makam mwenyekiti anaamuwa kusema bila kuchukua hatua za kinidhamu ujuwe jambo hilo lina mkono wa mkubwa yeye kaamuwa ili awe na sauti kukemea na kuchukuwa hatua za kinidhamu basi inatakiwa kuchukua huwo ukubwa wenyewe
 
Mbona unajifariji kiasi hicho?
mie si mgombea wala mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema,

wajumbe ni wale majamaa zaidi ya 1000, ambao watamrudisha Lisu back bench, akiwa mikono mitupu, mwanachama mshupaza shingo tu kama wewe gentleman ..

dah, tamaa kitu mbaya sana aise 🤣
 
Nitajie kiongozi wa Ccm asie na tamaaa
 
Mbowe awe makini Sana kwani Lisu muda Siyo mrefu anakwenda kumwaga mboga, hasara itakuwa kwa Mbowe na CHADEMA kwa Ujumla , Lisu Hana chochote cha kupoteza maana hakuna chochote amewahi kunufaika nacho katika hizo biashara za chinichini hapo CHADEMA

Mkuu Lissu cha kupoteza anacho
 
Back
Top Bottom