Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Sasa jiwe naye alikuwa na akili kichwani?Ila Lisu kuna nati imelegea.no wonder wakina jiwe walimfanyizia,anaudhi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jiwe naye alikuwa na akili kichwani?Ila Lisu kuna nati imelegea.no wonder wakina jiwe walimfanyizia,anaudhi sana.
Swali la kujiuliza kwa nini sasa? Kwa nini hakumtaja Wenje hapo kabla? Kwa nini hakutangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti mapema kama ana uhakika kuwa Mbowe ni corrupt? Hakuwa muwazi. Chama sio cha wananchi. Chama ni wanachama wake. Wananchi wanakipa afya sio uhai. Tusijidanganye kwenye hilo.Acheni aanike uovu na Wala rushwa bila kujali unafanywa na nani?. Ni either mumchague Mbowe chama kibaki ofisini au mumchague Lissu chama kiende kwa wananchi uchaguzi ni wenu.
For sure, ni kweli kabisaa,Utachanganya sana lùgha ila Lissu ni mtu makini mno ndio maana maccm hamumpendi
Jikite kwenye hoja.Sasa jiwe naye alikuwa na akili kichwani?
Wala siyo siku mmoja mkuu ni masaa tu...ngoja Mbowe achukue fomu kuna mtanange unaanza soon.Mbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Hoja ndio hiyo au haukuona alipotajwa jiwe?Jikite kwenye hoja.
Mawenge na mchecheto vipo tena namba moja kuwa na hivyo ni ccmFor sure, ni kweli kabisaa,
muungwana anaweza kua mtu makini sana, lakini mwenye mawenge na mchecheto zaidi duniani 🐒
Sawa kama unaamini CDM na wenyewe hawajui Lissu anavyotumika na mabeberu wakiamua siasa za ‘mwaga ugali, ni tumwage mnogą’Kuna wanasiasa wapumbavu pia na kuna siasa za kipumbavu pia wewe itakuwa unazungumzia wanasiasa wapumbavu na siasa za kipumbavu..maana katika siasa na wanasiasa wapumbavu ndiyo ufuata hiyo kanuni yako...nimesha gundua naongea na mtu mpumbavu pia
Alisema Lisu mwenyewe kwamba chadema kuna mawenge sana kwa sasa.Mawenge na mchecheto vipo tena namba moja kuwa na hivyo ni ccm
Unadhani kuongea hivi ni kujenga au kubomoa? The moment Lissu amenable huyo jamaa kaongozana na Abdul kwa lengo la kushawishiwa kupewa rushwa alichukua hatua gani kama kiongozi mwandamizi ndani ya chama? Unadhani inasaidia kuutangazia umma kama alivyofanya ikiwa hakuna hatua zozote za kinidhamu dhidi ya huyo mtuhumiwa...Wewe unatak rushwa iendelee kuchukukuliwa uko ndo uozo wa chama ndani uko nje unapaka mafuta lazima transparency ni muhimu kwenye siasa za chama hiyo sio jambo la kificha
Kumbe na wewe unawapenda wala rushwa?lisu ni mfitini wallah
Ivyo yaani mkuuKwamba Mbowe anaungwa mkono na watu wasio waadilifu. Dadeki!
Hapa Kazi IPO.
Tusubiri tuone kama Mbowe anagombea alafu tutakuja hapa
Yaani ukiona makam mwenyekiti anaamuwa kusema bila kuchukua hatua za kinidhamu ujuwe jambo hilo lina mkono wa mkubwa yeye kaamuwa ili awe na sauti kukemea na kuchukuwa hatua za kinidhamu basi inatakiwa kuchukua huwo ukubwa wenyeweUnadhani kuongea hivi ni kujenga au kubomoa? The moment Lissu amenable huyo jamaa kaongozana na Abdul kwa lengo la kushawishiwa kupewa rushwa alichukua hatua gani kama kiongozi mwandamizi ndani ya chama? Unadhani inasaidia kuutangazia umma kama alivyofanya ikiwa hakuna hatua zozote za kinidhamu dhidi ya huyo mtuhumiwa...
Au kwako caucas za chama zina maana gani?
Mbona unajifariji kiasi hicho?Alisema Lisu mwenyewe kwamba chadema kuna mawenge sana kwa sasa.
sasa,
nadhani kila moja anaona namna ambavyo mawenge yanamzonga, hajui anagombea umakamu mwenyekiti au uenyekiti wa Chadema Taifa 🤣
mie si mgombea wala mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema,Mbona unajifariji kiasi hicho?
Nitajie kiongozi wa Ccm asie na tamaaamie si mgombea wala mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema,
wajumbe ni wale majamaa zaidi ya 1000, ambao watamrudisha Lisu back bench, akiwa mikono mitupu, mwanachama mshupaza shingo tu kama wewe gentleman ..
dah, tamaa kitu mbaya sana aise 🤣
Mbowe awe makini Sana kwani Lisu muda Siyo mrefu anakwenda kumwaga mboga, hasara itakuwa kwa Mbowe na CHADEMA kwa Ujumla , Lisu Hana chochote cha kupoteza maana hakuna chochote amewahi kunufaika nacho katika hizo biashara za chinichini hapo CHADEMA
tamaa na pupa imemkoseha Lisu uongozi chadema na kumfuta kabisa kwenye medani ya siasa ya watu muhimu chadema, dah 🐒Nitajie kiongozi wa Ccm asie na tamaaa