Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Kweny hili la saccos mnajiaibishaga sana, inaonyesha ni jins gan mlivyo na low thinking chuki na wivu wa kike. Mtu ambae utajiri kazaliwa kaukuta atataka nn pale chadema cha kumuongezea kweny utajir wake?
Si ni SACCOS yake lazima ajitoe kwa moyo.
 
Sasa sehemu inayokupa hela kwanini usijitoe kwa jasho la damu?
Ndo akili hizi hazitakiw kweny nguv kaz ya Taifa, yaan mtu kukurupuka kuongea vitu ambavyo hajui hata amezungumzia ana mali kias gan. Ndo maana hua nawaambia vijana wa CCM mpak mfikie levels za kujenga hoja makin aisee bado sana 🤣🤣🤣🤣
 
CCM mwenyekiti agombee na "kivuli" au na "jua" lkn awamu yake ikiisha anapisha watu wenye mawazo mapya na m'badala wa kuongoza chama, tofauti na upande wa pili mwenyekiti hata akienda chooni anaenda na kiti chake ili mungine asije akakikalia. Toka mwaka 2005 mpk leo CCM imeshakuwa na wenyeviti watatu tofauti, wakati Chadema toka 2004 hadi leo mwenyekiti ni yule yule na haoneshi dalili ya kuachia ulaji.
Katiba ya CHADEMA inamruhusu kama ambavyo CCM inaruhusu muwe ma wenyeviti kwa miaka 10 tu na hiyo ni sababu Rais akipisha inatakiwa apishe ma uenyekiti so mutually inclusive.

By the way demokrasia sio tu mihula bali mchakato, ssa kma CCM hamruhusiwi kuchukua fomu kugombea uongozi wa chama je sauti ya wengi inasikilizwa wapi? Mbowe anakua challenged kila mwaka irrespective ya mihula anayoruhusiwa.

Sasa hapo Demokrasia imeonekana wapi?
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
NDUGAI na kijiwe chake waendelee kudemka
 
Hii takataka imerudi na matusi yake, utapondwa tena na mods mpaka upate akili kenge wewe.
 
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.

Bila Mbowe hakuna CHADEMA.

Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.

Labda taasisi ndio Mbowe.
kama alivyo ndugai na katiba,ndugai nikatiba na katiba ni ndugai kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu
 
Makamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.

Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.

Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.

Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.

Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
Ahsnt kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!ingependeza sana kama ungeweka ushahid dhid ya hizo ford ranger jinsi alivyojilipa. Pili.. weka ushahid kwamba alianzisha mtaji wa kujilipa. Jealous ones still envy, keep that!
 
Makamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.

Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.

Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.

Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.

Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
Anzisha chama chako mpuuzi wewe
 
Back
Top Bottom