Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Absolutely right 👊Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti
Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.
Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Shobo dundo zao hizoKwann hawataki sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwan anawazuia nn huko CCM
Si ni SACCOS yake lazima ajitoe kwa moyo.
Ndo akili hizi hazitakiw kweny nguv kaz ya Taifa, yaan mtu kukurupuka kuongea vitu ambavyo hajui hata amezungumzia ana mali kias gan. Ndo maana hua nawaambia vijana wa CCM mpak mfikie levels za kujenga hoja makin aisee bado sana 🤣🤣🤣🤣Sasa sehemu inayokupa hela kwanini usijitoe kwa jasho la damu?
Hatumwondoi ninyi ccm mnataka kupandikiza mwenyekiti wenu mlimtumia Sumaye, nyalandu,mwambe hamjafafaikiwa bado yupo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNyakati gani Kamanda, mwenyekiti kashindwa kuleta mabadiliko inabidi aondoke.
Katiba ya CHADEMA inamruhusu kama ambavyo CCM inaruhusu muwe ma wenyeviti kwa miaka 10 tu na hiyo ni sababu Rais akipisha inatakiwa apishe ma uenyekiti so mutually inclusive.CCM mwenyekiti agombee na "kivuli" au na "jua" lkn awamu yake ikiisha anapisha watu wenye mawazo mapya na m'badala wa kuongoza chama, tofauti na upande wa pili mwenyekiti hata akienda chooni anaenda na kiti chake ili mungine asije akakikalia. Toka mwaka 2005 mpk leo CCM imeshakuwa na wenyeviti watatu tofauti, wakati Chadema toka 2004 hadi leo mwenyekiti ni yule yule na haoneshi dalili ya kuachia ulaji.
NDUGAI na kijiwe chake waendelee kudemkaNingependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
Credit: Mwanahalisi
kama alivyo ndugai na katiba,ndugai nikatiba na katiba ni ndugai kwa sasa hakuna wa kumwambia kituMbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.
Bila Mbowe hakuna CHADEMA.
Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.
Labda taasisi ndio Mbowe.
Ahsnt kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!ingependeza sana kama ungeweka ushahid dhid ya hizo ford ranger jinsi alivyojilipa. Pili.. weka ushahid kwamba alianzisha mtaji wa kujilipa. Jealous ones still envy, keep that!Makamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.
Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.
Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.
Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.
Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
Anzisha chama chako mpuuzi weweMakamanda hiyu chairman wetu asitufanye sisi wajinga.
Chama cha siasa ni mali ya umma. Kama yeye alijitolea kujengq Chadema kwa hali na mali sio sababu ya kufanya kama mali yake binafsi.
Ni kweli kuwa alijitoa kwa pesa zake na mali zake, lakini haikuwa sababu za kuanzisha mtaji wa kujilipa.
Tulipata msaada wa magari ya Ford ranger Chairman alijilipa. Alishakuwa anajilipa sana tu tena mengine ni aibu kusema. Lakini Chadema ni mali ya watanzania.
Hii ni mali ya uma kama TANU na ASP vilichangiwa na watu mbona akina Nyerere na Karume hawakugeuza mali zao?
Kamanda acha ushabiki. Mbowe anatuumiza na hakuna unachopata faida.Hatumwondoi ninyi ccm mnataka kupandikiza mwenyekiti wenu mlimtumia Sumaye, nyalandu,mwambe hamjafafaikiwa bado yupo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sukuma Gang anayeishi nyakati za mwendazakeKamanda acha ushabiki. Mbowe anatuumiza na hakuna unachopata faida.
Chadema ni mali ya umma.Anzisha chama chako mpuuzi wewe
Tunasema hutumwondoi lumumba hawawezi kutupangia viongozi, wamewarubuni covi 19 inatoshaKamanda acha ushabiki. Mbowe anatuumiza na hakuna unachopata faida.
CCM ni mali ya Mwenyekiti?Chadema ni mali ya umma.