Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Wewe unaweza kuuza nyumba yako ukose pa kulala? Chama hicho ni cha mtu binafsi

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Hivi JF ni ya Mbowe mbona wengi wao hawataki kusikia Mbowe anaguswa au ni Mbowe Mwenyewe anatumia jukwaa hili kutuaminisha Kuwa anakubalika pale Ufipa kwa kutumia ID Tofauti kumbe ni Mbowe na Lissu
 
Mbowe anaichukukilia chadema kama kampuni yake kwahiyo lazima atoe jasho la damu kuipigania isife
 
Wala asiogope sisi wananchi tunampenda baadhi ya manyang'au ya CCM ndio hayamtaki
 
Hapa utaona watu wakipongeza na kusifu,ingetokea kwenye chama kingine wale wanywa gongo wangetoa povu balaa,hapa hutawasikia kuhusu democracy
 
Hivi NCCR na CUF ilikua na kura hta 5% hapo Karatu? Huo mchango wa CUF ulikuwa visiwani, pwani, na mikoa ya kusini. But Karatu ni kama CUF pemba kipindi kile ni absolute majority ya CHADEMA kwa zaidi ya miaka 25 so sio kweli walitegemea na kura za NCCR-CUF ili washinde.
Mbowe ahonge Illemela nzima kumshangilia? Ila Dr Slaa alishindwa kuhamasisha bila hongo yale maandamano ya Ubungo? Ama una compare nini hasa. Maana ya Dr.Slaa yalifeli sasa kma ana ushawishi mbona alikosa watu? Ilihali polisi walijitolea kuwalinda.

Mbowe hakumsaliti Dr.Slaa it was clear asingeweza mshinda JPM ilihitajika nguvu ya ziada na bila hivyo JPM angetupoteza ile 2015 but Lowassa alikua right person kuleta ile challenge hadi upepo kubadilika kabisa. Na waliopitisha ni kamati kuu kwa kushirikiana na UKAWA sio Mbowe pekee.

Dr.Slaa is a traitor haiwezi badilika mbona Mnyika, Lissu walibaki CHADEMA same to kigaila and Marando licha ya kwamba hawakuafiki Lowassa kuwa mgombea? It was wrong msitafute justification
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Acha ujinga we pimbi.
 
Lowassa alikuwa right person kuleta challenge? Upepo ukabadilika, kwa hiyo wewe furaha yako kuona nyomi ya watu mkutanoni?

Bora Slaa angegombea mwaka 2015 lakini sifa ya Chadema kama chama cha ukombozi na kinachopinga ufisadi ingebaki.
 

chadema haina mtu mwenye public influence kuwasaidia kushinda imani za watu, kipindi cha 2015 lowasa ndo aliekua na upepo mkubwa, kwa statistics lowasa ana asilimia 20% ya wapiga kura wote tanzania yeye kama yeye kama sjakosea, ila yeye ndo anaongoza!

- mbowe kumchukua lowasa ilikua the perfect and right tactic maaana, Magufuli alikua tayar ana jina , ukijumlisha JPM + CCM yaani hapo kutboa ni less than 1%, ile action ya kumleta lowasa ndo ilioiokoa chadema na asingefanya vile mbowe basi chadema ingekufa vibaya sana,

- japokua kwa upande wa public it was a bad play but kulikua hamna namna ingine hata mbowe alivokua anampaisha lowasa ukilinganisha na lissu yaani utaona jitihada za mbowe kipindi cha lowasa zilikua ni 100%, yaani lissu uchaguzi ulienda kama zali tu ni kama hawakua wamejiandaaa

- Lissu mwenyewe alishawahi kuhojiwa akaeleza
 
Lowassa alikuwa right person kuleta challenge? Upepo ukabadilika, kwa hiyo wewe furaha yako kuona nyomi ya watu mkutanoni?

Bora Slaa angegombea mwaka 2015 lakini sifa ya Chadema kama chama cha ukombozi na kinachopinga ufisadi ingebaki.

kati ya watu basi walioelewa mchezo wa 2015 wewe umeelewa kila kitu, ingawa hua nawataniaga sana kuhusu lowasa 2015 but kiuwekli kulikua hakuna namna
 
Hapa utaona watu wakipongeza na kusifu,ingetokea kwenye chama kingine wale wanywa gongo wangetoa povu balaa,hapa hutawasikia kuhusu democracy
Chama kipi? Kile ambacho Mwenyekiti anagombea na kivuli? Ni lini CCM wamefanya uchaguzi wa kidemokrasia kama CHADEMA au Mbowe amepita bila kupingwa? Get real
 
je kwanini kila aonyeshaye nia ya kuuhitaji uenyekiti hutimuliwa?
Inategemea unataka vipi... Kama unaingia kwa namna ya kukigawa chama ni lazima utimuliwe.... Hata CCM tumeyaona hayo wakati akina Shibuda na Membe walipojaribu kuwa challenge Wenyeviti. Hata CUF tulikoma Maalim akitimuliwa kwenye chama alichokiasisi.
 
Mkuu ukubali au ukatae ila ukweli utabaki pale pale kuwa uchaguzi wa mwaka 2015 ungekuwa mgumu sana na hata pengine kupoteza ushindi kwa CCM kama dr Slaa angegombea uraisi na kuungwa mkono na Ukawa, hilo hata CCM wenyewe walilifaham hili (kumbuka hata ndan ya CCM yenyewe kuna watu tayari walikuwa washajua kuwa Kikwete mwaka 2015 CCM itamfia mikononi, na tishio kubwa kwao ilikuwa ni dr Slaa na sera yake ya ufisadi). Ndio maana wajuzi wakatengeneza vigisu wakijua kuwa litawasaidia kuendelea kubaki madarakani. Na kweli ukasukwa mpango Lowasa akajifanya kutimkia Chadema ili akamalize kazi aliyopewa na Chama baada ya hapo arejee chamani kama ilivyotokea. Kuhusu Mbowe naona unaongelea upande mmoja tu wa furaha ila haugusi upande mungine wa kilio hapa namaanisha unazungumzia ya Karatu nk lkn hauzungumzii yale ya kuzomewa na kurushiwa chupa za maji jimboni kwake mwenyewe. Sikuwahi kuliona hili kwa dr Slaa hata siku moja.
 
Lowassa alikuwa right person kuleta challenge? Upepo ukabadilika, kwa hiyo wewe furaha yako kuona nyomi ya watu mkutanoni?

Bora Slaa angegombea mwaka 2015 lakini sifa ya Chadema kama chama cha ukombozi na kinachopinga ufisadi ingebaki.
Kwani ni lini CHADEMA imeacha kupinga ufisadi? Huyo Lowassa si yupo CCM na alipokelewa na JPM kwa heshima zote kwani ilibadili credibility ya CCM na JPM (whether positive or negative)??

CHADEMA ilikuwa na sababu zote za kumsimamisha Lowassa 2015 na sioni aibu kukiri hilo. Ila kma angesimamishwa Membe aaah hapo hta tungemuweka Dr.Slaa nisingekua na shida yoyote.

Ndio maana Odinga leo yupo na Kenyatta..... Kesho usishangae akawa na Ruto tena dhidi ya Jubilee. Siasa ni dynamic na lazima ufanye right decisions kwenye right circumstances. Maadam Lowassa was a weapon against CCM why don't we capitalize with it.

Kama credibility yetu ilichafuka ilikuwaje kura zikavunja rekodi Karatu? Ina maana hata nyumbani kwa Dr.Slaa waliona uamuzi ni sahihi..... So ur views mean nothing kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…