Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.


Credit: Mwanahalisi
Mwamba tuvushe

FB_IMG_1595009729173.jpg
 
yaani ungejuwa tuko busy na mambo yetu wala usingehangaika kumtetea huyo mwenyekiti wa maisha wa cdm ukitaka uenyekiti tu lazima upotee kama wangwe na saa ngapi sijui
Mwenyekiti wenu yule mliokua mnafananisha na Mungu yuko wapi😂
Mara ya mwisho mlimtia gundi la mdomo ule mchafu na mkafukia ehee...😂😂😂
Mwamba anadunda ... innawaumaaaa..
Sisi kwetu raha tu..💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
 
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.

Bila Mbowe hakuna CHADEMA.

Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.

Labda taasisi ndio Mbowe.
na ndio maana mmeshindwa kuiua CHADEMA
 
Ccm imuogope Mbowe?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Muulize sasa ana wabunge wangapi kule mjengoni?

Mwingine kakimbilia ublgiji ana hamu na ccm!

Mbowe ni kinyangalika tu mbele ya ccm! Mtu aliefeli mara 4 kuwainua chadema kwenda ikulu ccm itamuogopaje?
Jisahaulishe tu, unajifanya hayawani sio,?! Mnakufa Midomo wazi na mnazibana na gundi kisa kuhangaika na Mwamba 😂 😂

Mmekuwa wajane sababu ya Lissu kapiga za chembe kasepa.. mlipiga mpaka magoti, chezea Lissu wewe 😂mkiambiwa jogoo la shamba hawiki mjini muwe mnaelewa.
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Imedumu kwa kuwa ni saccos.
 
Chama kipi? Kile ambacho Mwenyekiti anagombea na kivuli? Ni lini CCM wamefanya uchaguzi wa kidemokrasia kama CHADEMA au Mbowe amepita bila kupingwa? Get real
CCM mwenyekiti agombee na "kivuli" au na "jua" lkn awamu yake ikiisha anapisha watu wenye mawazo mapya na m'badala wa kuongoza chama, tofauti na upande wa pili mwenyekiti hata akienda chooni anaenda na kiti chake ili mungine asije akakikalia. Toka mwaka 2005 mpk leo CCM imeshakuwa na wenyeviti watatu tofauti, wakati Chadema toka 2004 hadi leo mwenyekiti ni yule yule na haoneshi dalili ya kuachia ulaji.
 
Jisahaulishe tu, unajifanya hayawani sio,?! Mnakufa Midomo wazi na mnazibana na gundi kisa kuhangaika na Mwamba [emoji23] [emoji23]

Mmekuwa wajane sababu ya Lissu kapiga za chembe kasepa.. mlipiga mpaka magoti, chezea Lissu wewe [emoji23]mkiambiwa jogoo la shamba hawiki mjini muwe mnaelewa.
Sasa umeandika nini?

Lisu huyu anaekaa kwa amsterdam ana nini kipya?
 
Kwani
Leo hii dr Slaa anaitwa dr Mihogo na misukule yako huku wengine wakiambatanisha na matusi, ww kama mwenyekiti umeshindwa kutoka hadharan kuwakemea hao mbwe.ha koko waliokuwa wanamchafua yule mzee alietumia nguvu zake na mali zake kupigania chama. Ilifikia kipindi dr Slaa alionekana hana thaman hata mbele ya "mr zero" kisa tu mshiko wake aliotumia kuhonga chama. Ki ukweli na bado dhambi ya kumtukana na kumdhalilisha dr Slaa itaendelea kukitafuna chama na wanachama kwa ujumla. Hongera pesa kwa kutuonesha ni nani mwenye roho ya utu na nani mwenye roho ya kutu.
kwani Wewe hupati dhambi kwa kumtukana Mbowe, au dhambi ni kumtukana Silaa tu?
 
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.

Bila Mbowe hakuna CHADEMA.

Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.

Labda taasisi ndio Mbowe.
Hivi ccm ni taasisi ?
 
Sasa umeandika nini?

Lisu huyu anaekaa kwa amsterdam ana nini kipya?
Mjane umesahau sumu ya Lissu ilivyokausha vipaja , mpaka kufanya kampeni ikawa hawezekani😂
yaani Corona ilifanya kama kumsukuma mlevi tu,😂😂 kazi iliishamalizwa na mtoto wa Singida💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
Usimuongelee mbeba maono bure bure tutakufikia😂😂
 
Kwani ni lini CHADEMA imeacha kupinga ufisadi? Huyo Lowassa si yupo CCM na alipokelewa na JPM kwa heshima zote kwani ilibadili credibility ya CCM na JPM (whether positive or negative)??

CHADEMA ilikuwa na sababu zote za kumsimamisha Lowassa 2015 na sioni aibu kukiri hilo. Ila kma angesimamishwa Membe aaah hapo hta tungemuweka Dr.Slaa nisingekua na shida yoyote.

Ndio maana Odinga leo yupo na Kenyatta..... Kesho usishangae akawa na Ruto tena dhidi ya Jubilee. Siasa ni dynamic na lazima ufanye right decisions kwenye right circumstances. Maadam Lowassa was a weapon against CCM why don't we capitalize with it.

Kama credibility yetu ilichafuka ilikuwaje kura zikavunja rekodi Karatu? Ina maana hata nyumbani kwa Dr.Slaa waliona uamuzi ni sahihi..... So ur views mean nothing kabisa.
The end justified the means.
 
Back
Top Bottom