Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Hivi NCCR na CUF ilikua na kura hta 5% hapo Karatu? Huo mchango wa CUF ulikuwa visiwani, pwani, na mikoa ya kusini. But Karatu ni kama CUF pemba kipindi kile ni absolute majority ya CHADEMA kwa zaidi ya miaka 25 so sio kweli walitegemea na kura za NCCR-CUF ili washinde.

Mbowe ahonge Illemela nzima kumshangilia? Ila Dr Slaa alishindwa kuhamasisha bila hongo yale maandamano ya Ubungo? Ama una compare nini hasa. Maana ya Dr.Slaa yalifeli sasa kma ana ushawishi mbona alikosa watu? Ilihali polisi walijitolea kuwalinda.

Mbowe hakumsaliti Dr.Slaa it was clear asingeweza mshinda JPM ilihitajika nguvu ya ziada na bila hivyo JPM angetupoteza ile 2015 but Lowassa alikua right person kuleta ile challenge hadi upepo kubadilika kabisa. Na waliopitisha ni kamati kuu kwa kushirikiana na UKAWA sio Mbowe pekee.

Dr.Slaa is a traitor haiwezi badilika mbona Mnyika, Lissu walibaki CHADEMA same to kigaila and Marando licha ya kwamba hawakuafiki Lowassa kuwa mgombea? It was wrong msitafute justification
Hahaha point on
 
Mimi nadhani kama Mbowe akitaka kuwa mwenyekiti wa maisha na wanachama wakakubali kumchagua kwa kuendelea kumpigia kura, let it be.

It is their party afterall na labda hawaoni kama kuna watu wengine wenye kipawa cha kuongoza, which of course is an insult to those who think they are capable to lead the Party
Hahaha you said it welll
 
Katiba ya CHADEMA inamruhusu kama ambavyo CCM inaruhusu muwe ma wenyeviti kwa miaka 10 tu na hiyo ni sababu Rais akipisha inatakiwa apishe ma uenyekiti so mutually inclusive.

By the way demokrasia sio tu mihula bali mchakato, ssa kma CCM hamruhusiwi kuchukua fomu kugombea uongozi wa chama je sauti ya wengi inasikilizwa wapi? Mbowe anakua challenged kila mwaka irrespective ya mihula anayoruhusiwa.

Sasa hapo Demokrasia imeonekana wapi?
Safi sana
 
Back
Top Bottom