Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

Kama ccm haitajibu hoja hii, ccm ijiandae 100% kuondoka madaraka
 
Likizi na sio rikizo ni hapo ila naunga mkono hoja
 
Pale mgombea anapoleta mahaba kwenye sheria.

Nani ampigie kura mtu kisa mshahara wa mwezi mmoja??

Jamaa kaishiwa vya kuzungumza,

Ilani ya chama ni mbovu,

Haina mvuto anaishia kuzungumzia ya wenzake tu,

Hana na hawezi kuwaambia wananchi atawaletea vipi maendeleo zaidi ya haya yaliyofanywa na CCM.
 
I am also a victim of this. So far my salary has been withheld by the bank to the extent that I have failed to withdraw even ten shillings. Seriously, how and why should I votes for those who tormented me for two months?. Impossible! First CCM must clear this matter before forcusing to our votes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…