Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ccm haitajibu hoja hii, ccm ijiandae 100% kuondoka madaraka•LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO YA MIEZI MIWILI,
•LISU AMESEMA HUU NI WIZI KAMA WIZI MWINGINE,AMEHOJI MAMBO YAFUATAYO,:
JPM WAKATI ANAGOMBEA BIHALAMURO AKIWA MWALIMU ALIKATWA MSHAHARA?LISU AMEULIZA JE WATUMISHA WANAODAIWA NA MABENK WANAREJESHAJE MAREJESHO YAO ?MABENKI YAMELAZIMU KUKATA MISHAHARA YAO YA KAWAIDA,
•LISU AMESEMA MTUMISHI AMEKAA MIEZI MIWILI BILA KULIPWA MSHAHARA LEO MSHAHARA UNAINGIA ANAKATWA REJESHO LA JULY,BADO HAJALIPA MADENI YA MTAANI NA FAMILIA INABAKI NA HAKUNA MSHAHARA,
•LISU AMESEMA HAYA YATAISHA OCTOBER 28,SERIKALI ITARUDISHA MAREJESHO YA BENKI NA MISHAHARA YAO,
•TUWAANGALIE SANA HAWA WATUMISHI WALIOGOMBEA KUPITIA CCM,NA WALIKUWA WATUMISHI NA WANAELEMENT ZA KISIASA WAMEJIPANGA KUIHARIBU KABISA CCM,KWA KUWADOKEZA WAPINZANI HABARI KAMA HIZI,WENGINE WANASEMA WAMEKICHANGIA CHAMA KWA KIASI KIKUBWA SANA KUPITIA FORM ZAO
•POLEPOLE UNATAKIWA KUJIBU HOJA ZA LISU ,
Kwa kweli Dada yangu ilimkumba hii, ametia huruma sana, tulikuwa tunamchangia chakula na ada za watoto. Cha kushangaza ni ccm mwenzaoKama ccm haitajibu hoja hii, ccm ijiandae 100% kuondoka madaraka
Mwaka huu watashukuru, na wameanza kutuongezea agendaYaani lisu anakera sana,yani[emoji849][emoji849],kujipendekeza tu kwa wafanyakazi,,mijitu yenyewe hainaga shukrani hata...
Lissu ni mkombozi wa wanyonge. Inabidi aifafanue na hoja ya fao la kujitoa na 15% ya heslbMwaka huu watashukuru, na wameanza kutuongezea agenda
Ameongelea sana, airudie mara kwa maraLissu ni mkombozi wa wanyonge. Inabidi aifafanue na hoja ya fao la kujitoa na 15% ya heslb
Lissu anahakikisha haachi kundi hata moja, anakusanya kura kila kona.Hizi ngumi kali sana mh Lissu hebu muonee huruma mwenzio!
Kuna spana nyingi za kumfix jiwe....zipo size 8,9,10,....hadi 45Lissu anahakikisha haachi kundi hata moja, anakusanya kura kila kona.
Likizi na sio rikizo ni hapo ila naunga mkono hoja•LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO YA MIEZI MIWILI,
•LISU AMESEMA HUU NI WIZI KAMA WIZI MWINGINE,AMEHOJI MAMBO YAFUATAYO,:
JPM WAKATI ANAGOMBEA BIHALAMURO AKIWA MWALIMU ALIKATWA MSHAHARA?LISU AMEULIZA JE WATUMISHA WANAODAIWA NA MABENK WANAREJESHAJE MAREJESHO YAO ?MABENKI YAMELAZIMU KUKATA MISHAHARA YAO YA KAWAIDA,
•LISU AMESEMA MTUMISHI AMEKAA MIEZI MIWILI BILA KULIPWA MSHAHARA LEO MSHAHARA UNAINGIA ANAKATWA REJESHO LA JULY,BADO HAJALIPA MADENI YA MTAANI NA FAMILIA INABAKI NA HAKUNA MSHAHARA,
•LISU AMESEMA HAYA YATAISHA OCTOBER 28,SERIKALI ITARUDISHA MAREJESHO YA BENKI NA MISHAHARA YAO,
•TUWAANGALIE SANA HAWA WATUMISHI WALIOGOMBEA KUPITIA CCM,NA WALIKUWA WATUMISHI NA WANAELEMENT ZA KISIASA WAMEJIPANGA KUIHARIBU KABISA CCM,KWA KUWADOKEZA WAPINZANI HABARI KAMA HIZI,WENGINE WANASEMA WAMEKICHANGIA CHAMA KWA KIASI KIKUBWA SANA KUPITIA FORM ZAO
•POLEPOLE UNATAKIWA KUJIBU HOJA ZA LISU ,
Ni yenye utata kabisa.MM NIMECHEKA SANA ,ANAITA LIKIZO YENYE UTATA KISHERIA,KATIBU MKUU AJIANDAE KISAIKOLOJIA,
Kucheza nyimbo za Zuchukwa kweli hii ni hoja nzito sana,hv polepole anakazi gani pale rumumba,?