Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

Namba zitaendelea kuzungumza

Mwenyekiti si unamuona ameamua kupiga media tour?

Hali ni mbaya sana ground. Watu wanachotaka ni Lissu tu.
Tatizo anadhani anaweza kupambana na Muda akashinda.
Nyakati zimeshamkataa
 
So long as Katiba imempa haki hiyo bado ninayo haki ya kumpenda Kama Mgombea. Kwangu Mbowe bado anastahili kukiongoza chama hiki.
Katiba iliondoa limit kwa sababu kulikuwa hakuna wagombea wenye sifa wa kutosha kipindi cha nyuma. Tatizo limeshaondoka na yeye akiwa kama mwenyekiti akakwepa kufanya marekebisho kwa sababu ameona ina m-favour yeye kuwa mwenyekiti wa maisha. Ni kama tunavyolalamika CCM inavyotumia udhaifu wa katiba yetu kuendelea kutawala na kukataa kufanya marekebisho. Anawezaje kuilamu CCM wakati na yeye anafanya jambo hilo hilo? Nimeanza kuamini wale watu waliokuwa wanasema Mbowe ni kibaraka wa CCM na yupo upinzani kama dalali wa kuifanya CCM iendelee kutawala huku akilipwa fedha. Anyway, ni vizuri sana tumejua tatizo lilipo na katu hataweza kutudanganya tena kuzungusha ngumi. Na akiiba kura kwa kusaidiwa na Samia kama anavyopanga basi chama kitabaki kuwa chake na mke wake pengine na vibaraka wachache kama ninyi.
 
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100

Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽

Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18

2. BAWACHA 33
  • TAL 17
  • FAM 16

3. BAVICHA 33
  • TAL 31
  • FAM 2

Jumla
Tundu Lissu 63
Freeman Mbowe 36.
Yeriko Nyerere ana tarifa hizi au bado
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi anasema mtandaoni anaonekana hapendwi kwasababu watu wametengeneza account fake na wanazi-oparate kwa AI ili aonekane hakubaliki ila yeye ndo anakubalika
Hii kauli imenifanya nimdharau sana kaka yangu Mbowe.
 
Hesabu ipo wazi 1200- 99 =1101

Then chukua 1101 ÷ 99=11.

Lissu =11×66=726.
Mbowe=11×33=363

Biashara inaenda kuisha mapema sana
 
Katiba iliondoa limit kwa sababu kulikuwa hakuna wagombea wenye sifa wa kutosha kipindi cha nyuma. Tatizo limeshaondoka na yeye akiwa kama mwenyekiti akakwepa kufanya marekebisho kwa sababu ameona ina m-favour yeye kuwa mwenyekiti wa maisha. Ni kama tunavyolalamika CCM inavyotumia udhaifu wa katiba yetu kuendelea kutawala na kukataa kufanya marekebisho. Anawezaje kuilamu CCM wakati na yeye anafanya jambo hilo hilo? Nimeanza kuamini wale watu waliokuwa wanasema Mbowe ni kibaraka wa CCM na yupo upinzani kama dalali wa kuifanya CCM iendelee kutawala huku akilipwa fedha. Anyway, ni vizuri sana tumejua tatizo lilipo na katu hataweza kutudanganya tena kuzungusha ngumi. Na akiiba kura kwa kusaidiwa na Samia kama anavyopanga basi chama kitabaki kuwa chake na mke wake pengine na vibaraka wachache kama ninyi.
Ni vizuri sana kuwa na intellectual maturity… ni vyema pia kuwa na emotional intelligence katika kuchambua mambo!! Mimi kumpenda Mbowe ni ukibaraka sio? Kwanini Mnadhani ni lazima tuwe na chaguo moja?? Yaani mnataka sote tumpende Lissu? Wewe endelea kutaka siasa Za kihuni huni Mimi nachagua upande wa ustaarabu.
 
Kumpenda Mbowe ni ukibaraka kwa sababu hakuna sababu yoyote inayoingia akilini ya kutaka mtu ambaye amekaa kwenye madaraka kwa miaka 20 kuendelea kukaa. Hakuna sababu inayoingia akilini kwa hali ya sasa. Mbowe siyo mstaarabu na angekuwa mstaarabu basi asingetaka kuwa mwenyekiti wa maisha. Pengine nikufundishe maana ya neno ustaarabu?
 
Teh Teh Teh….. nakwenda na Mbowe…. That is democracy!
 
Mkuu umepotea mno mno. Nadhani upofushwa na chuki au mapenzi au maslahi binafsi. Pengine ungepekuwa michango yangu ya nyuma hapa JF kuhusu Mbowe ndiyo ungejua kwamba mimi nilikuwa askari wake mtetezi. Ungemgusa Mbowe nikuache? Tukubali tu sasa hivi ni aibu kwa mtu kama yeye kuendelea.
 
Siwezi kubaliana na wala si aibu kwake kuendelea. Mimi ni mtu wa principles… hawezi mtu kukurupuka within two months aingie kwa shari anibadilishe mtazamo…. Angekua serious sana angetangaza mapema. Mi mtu mzima sana sivutiwi na papara wala shari.

Mbowe mitano tena.
 
Back
Top Bottom