britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Uhaini afungwe miezi michache?
"Tupo na tutakuwepo"Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca
Hiyo option amepewa na nani?Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca
Kuna mwingine zaidi ya AbdulHiyo option amepewa na nani?
Exactly 💯Nchi inasikitisha sana hii, hakuna fairness popote. Kimsingi hawa jamaa wanatumia mbavu coz wanajua kwenye fair playground wanachapwa mapema sana.
Nafikiri amepewa na kamanda Heche baada ya kushauriana na Mnyika😂Hiyo option amepewa na nani?
Kesi ya uhaini, rais anauwezo wa kumsamehe mtu?Afubgwe ndani ya miezi michache aachiwe