Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Nje ya mada kidogo, kikachero hii imekaaje?!

Huku niliko leo kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, .....

Jeshi la polisi limepita mtaani na gari ya matangazo ikituomba mwananchi yeyote anaemiliki silaha isiyo halali akaiandikishe, hatachukuliwa hatua, ni zoezi la kuimarisha usalama!... na wenye nazo kihalali wakazihakiki!

Kiukweli bado nafikiria lengo la hii operesheni ya polisi sijapata jibu! Ni uoga? Ama ni nini?... sijawahi kushuhudia kitu kama hichi nchini tangu nizaliwe miaka 37 iliyopita!.
Uoga maana hata jeshini nao wamechoka kuna taarifa
 
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,

Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo

Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe

Britanicca

Inasemekana aliyetumwa kupeleka huko ujimbe ni Mwenyekiti mstaafu.
 
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,

Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo

Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe

Britanicca
Mtangajyika aondoke nchini kwake aende wapi ? Wanaotakiwa kuondoka tanganyika ni wale kutoka nchi jirani sio TL
 
Acha watakao kutukana wakutukane britanicca. Kwangu mimi hata ukiandika mawe yameimba kwaya nitaamini.
Ndio dalili haswa ya u zombie.Wewe umeshajidhihirisha kwamba una akili ya kushikiwa.Endelea kuamini ujinga.Juzi mlifungwa kamba na huyo huyo eti marehemu Bibi Titi alisamehewa na Nyerere mwaka 1975.Mkaitikia kama misukule.
 
Kwanza atakuwa mwovu zaidi kuliko alivyo kwisha onyesha katika hii miaka ya kuokota barabarani.
Ataivuruga sana nchi huyu, na wananchi wenyewe watavurugika sana. Kuibuka kwa makundi hatari ndani ya jamii, yakihatarisha usalama wa makundi mengine halitakuwa jambo la kushangaza.
Umeongea kitu ambacho mimi nimekuwa nikiwaeleza wazee wa "mitano tena" kwamba hata kama samia atapita salama sala kwenye hili vugu vugu linalotishia kumng'oa madarakani hapo October.... ila hii miaka mitano utawala wake utakuwa na misuko suko sana kuliko za watangulizi wake wote, na anaweza hata asiimalize hata awamu yenyewe.

Tukiachana na raia tu wa kawaida sisi ambaye yeye anaamini hatuna la kumfanya, humo humo tu kwenye ccm yake tayari kuna mpasuko mkubwa sana ambao haujawahi kutokea tangu chama kinaanzishwa kitu ambacho kinashusha uimara wa chama
 
CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.
Kwa bahati mbaya sana, CCM kama chama sasa hivi kinatumiwa tu na Genge la hawa watu wa hovyo kabisa.
Hili ndilo limekuwa tatizo letu kubwa.

Sasa kama unavyo sema hapa; huenda huko huko ndani ya CCM hatimae kutainuka watu ambao hawatakubali chama chao kiendelee kuvurugwa kama kilivyo vurugwa hadi sasa. Kama hilo halitatokea, CCM na yenyewe itakuwa njiani kuwa kama hivi vyama vingine vilivyo dhoofu na pengine hatimae kutoweka kabisa.

Sasa hivi kinacho washikilia pamoja ni hayo marupurupu yanayotokana na kuwa na serikali. haya yakiondolewa CCM itasambaratika.
 
Nje ya mada kidogo, kikachero hii imekaaje?!

Huku niliko leo kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, .....

Jeshi la polisi limepita mtaani na gari ya matangazo ikituomba mwananchi yeyote anaemiliki silaha isiyo halali akaiandikishe, hatachukuliwa hatua, ni zoezi la kuimarisha usalama!... na wenye nazo kihalali wakazihakiki!

Kiukweli bado nafikiria lengo la hii operesheni ya polisi sijapata jibu! Ni uoga? Ama ni nini?... sijawahi kushuhudia kitu kama hichi nchini tangu nizaliwe miaka 37 iliyopita!.
Hiyo operation wanata kujua kuwa ni watanzania wangapi wa kawaida ambao ni potential threat kwao pale hali itakapokuwa mbaya zaidi hili aidha wakimbie au wajua jnsi ya kukabiliana nao.

Yaan kwa ufupi tu wanataka kujua size ya ukubwa wa adui(ambao ni wanainchi)
 
Mmeishajua kuwa anaweza kula miaka kadhaa...sasa ndo mnaanza kutengeneza "spinning doctor" mitandaoni.
 
CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.
Kwa bahati mbaya sana, CCM kama chama sasa hivi kinatumiwa tu na Genge la hawa watu wa hovyo kabisa.
Hili ndilo limekuwa tatizo letu kubwa.

Sasa kama unavyo sema hapa; huenda huko huko ndani ya CCM hatimae kutainuka watu ambao hawatakubali chama chao kiendelee kuvurugwa kama kilivyo vurugwa hadi sasa. Kama hilo halitatokea, CCM na yenyewe itakuwa njiani kuwa kama hivi vyama vingine vilivyo dhoofu na pengine hatimae kutoweka kabisa.

Sasa hivi kinacho washikilia pamoja ni hayo marupurupu yanayotokana na kuwa na serikali. haya yakiondolewa CCM itasambaratika.
CCM ingekuwa ni imara, huyu mama na hao wenzake wanaoitumia CCM yenyewe isingeruhusu afanye yote haya aliyo kwisha fanya hadi sasa.
Kwa bahati mbaya sana, CCM kama chama sasa hivi kinatumiwa tu na Genge la hawa watu wa hovyo kabisa.
Hili ndilo limekuwa tatizo letu kubwa.

Sasa kama unavyo sema hapa; huenda huko huko ndani ya CCM hatimae kutainuka watu ambao hawatakubali chama chao kiendelee kuvurugwa kama kilivyo vurugwa hadi sasa. Kama hilo halitatokea, CCM na yenyewe itakuwa njiani kuwa kama hivi vyama vingine vilivyo dhoofu na pengine hatimae kutoweka kabisa.

Sasa hivi kinacho washikilia pamoja ni hayo marupurupu yanayotokana na kuwa na serikali. haya yakiondolewa CCM itasambaratika.
Hilo genge la wahuni ni obvious unawaongelea wana mtandao sio?...

..Well, ni kweli kabisa hilo genge la wahuni ambao ndio limekishika chama ni la watu wachache sana ambao ndio walibagaza hili taifa kadri watakavyo na Samia amekubali kulitumikia genge hilo bila kujali athari zake akiamini kwamba yuko salama.

Sitaki kuamini kwamba Samia hajui hilo genge la wahuni linaweza kumgeuka muda wowotw ule pale linapoona hana tena uwezo wa kulinda maslahi yao binafsi.

Iko wazi hilo genge la wahuni(wana mtandao) wamekigawanya chama tena pakubwa sana na wamepandikiza chuki kalo sana kwa baadhi ya makada wao, hizo tayari ni dalili njema kwetu sisi wengine na dalili mbaya kwao.
 
Back
Top Bottom