Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
mpende tu, ni rais wa nchi, the rest is non of your business
 
LISSU kawabana kisawasawa wakaona wampe option. kwani bila Lissu nchi hii haitakuwa na mpinzani? Kila zama kuna mpinzani, kumpa option ni kujisumbua tu. Daima wapinzani wapo, ni suala tu la wakati kuibuka
 
Hata kama Lissu akikubali option hiyo ili mateso yakome na akaenda zake nje ya nchi moto ndio kwanza unawaka kwa kasi mpya ya multiplication kama kirusi kinavyozaliana. Lengo la kuondoa udhalimu halijatimia, kwa hiyo wataibuka wengine wakali kuliko Lissu wenye utiisho mkubwa kutimiza lengo. Lissu aende tu nje ila ajue amepanda mbengu imeota na imesitawi na kukua vema, ni suala la muda tu itatoa mavuno
 
Maana ake akubali kosa la uhaini ?? CCM wajinga kweli hata mtoto mdogo hawezi kukubali 🤣🤣
 
Lissu akishaondoka ndio mnafikiri tutawapenda tena bora abaki akiondoka ndio mnazidi kuchukiza wananchi ccm hakuna anayewapenda hata kidogo mmeua watu mmeliza watu inatosha sasa inabidi muende
 
Nje ya mada kidogo, kikachero hii imekaaje?!

Huku niliko leo kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, .....

Jeshi la polisi limepita mtaani na gari ya matangazo ikituomba mwananchi yeyote anaemiliki silaha isiyo halali akaiandikishe, hatachukuliwa hatua, ni zoezi la kuimarisha usalama!... na wenye nazo kihalali wakazihakiki!

Kiukweli bado nafikiria lengo la hii operesheni ya polisi sijapata jibu! Ni uoga? Ama ni nini?... sijawahi kushuhudia kitu kama hichi nchini tangu nizaliwe miaka 37 iliyopita!.
 
Lissu ndio kamweleza Makamu mwenyekiti wake gerezani, pamoja na baadhi ya mawakili walio mtembelea Lissu gerezani, Magoti ndio kapata hizo info kwao
Kwani wewe unamjua Britannica ninani?
 
Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
Upo kama manager wa kumpuni X 😂 pale kazini kwake huwa akiona picha au tangazo lake tu la kampeni, chap anasonya na kuchange channel anaweka hata channel ya Cheka Tu Plus, wafanyakazi huwa wanacheka kweli, jamaa hampendi kabisa huyu maza 😂
 
Ngazi hii huwa hainistui chochote. Ni kama unapoteza muda wako tu na kujidhalilisha mwenyewe..

Umekuwa humu JF muda kitambo sana. Sijawahi kukuona ukishuka hadi hapa ulipofikia sasa.
Ina maana kuna jambo lisilo la kawaida limekushikilia sana.
Hilo siyo tatizo langu, shughulika nalo mwenyewe.
Mkuu achana na huyo mpumbavu Mimi nilimdharau kitambo.
 
Back
Top Bottom