Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Ndo mjue watawala hawana nia njema na Nchi kitendo cha mtu aliefanya uhaini kumwambia wamwachie then aondoke nchini hiyo ndo ujue kwamba kesi ya Uhaini ya Lissu ni mchongo wa watu waendelee kutafuna nchi bila buguza wengine mbaki kua makasuku wao na kuvaa sare za chama wengine wakitafuna nchi so sad kwa maana nyingine Lissu angekubali baadae wangemchafua kwa siasa zile zile kwamba alikimbia nchi baada ya kuachiwa Lissu mpaka Sasa MUNGU kampagia zawadi yake kubwa sana hata wakifunga ndo watakua wamefanya kosa kubwa akitoka ni Ikulu moja kwa moja ningekua mshauri wa mama ni kumwachia Lissu na kuunda serikali ya mpito na Lissu akiwa Makamu wa rais then naondoka kwa amani kabisa baada ya Mda wangu kuisha naawachia Lissu wenu mnaamua wenyewe watanzania Lissu akiwa makamu wa Rais anaweza msandia mama Mambo mengi ya kisheria na Mama kurudisha mvuto kwa watanzania then unaondoka baada ya miaka miaka ya 5 kwa amani
Wanachofikiria wao nikuitafuna Nchi tu na vile tuko usingizini😭😭😭😭. Naumia sana ni basi tu.
 
Kesi ya uhaini, rais anauwezo wa kumsamehe mtu?
Yes, Rais wa JMT, kupitia DPP, ana uwezo wa kuingilia kesi yoyote ya jinai, ikiwa hatua yoyoyte kabla ya hukumu, kupitia mamlaka ya DPP yanaoitwa Nolle!. Hata kesi ya Mbowe, ni rais aliifuta, na Mbowe alipoachiwa tuu, kabla hata ya kwenye kanisani kushukuru Mungu, au kwenda nyumbani kujiunga na familia yake, alianza kwa kupitia Ikulu kumshukuru mama!.

Akaambiwa akaangalie hali ya chama chake kinahitaji nini, akarejea Ikulu na list, mama Akatoa!. Chadema walishindwa kuitisha kikao cha Baraza Kuu, kutokana na ukata, wakapewa!. Mbowe akaomba kutoka kidogo nje kupunga upepo, mama akatoa!.

Siku ile namshauri Lissu hili jambo,
View: https://youtu.be/GNOixZFdUJM?si=VJZ3hhr0-KSgBn_X

P.
 
Haaaaaaaaa,tangu lini wakwe zangu wachaga wakaacha kupiga dili kwa kila fursa.
Umesahau kumalizia jumba la Machame"................Mama akatoa"
 
Baada ya Samia kujitangazia ushindi!

Kamwe Samia hataweza kuwa na utawala tulivu muda wake wote kwenye madaraka atakayo nyakuwa kijambazi.
Ninapata tabu kufikiri ni namna gani anaweza kuongoza kwa miaka mitano!!!
 
Ninaposema unazo akili za mnyama, elewa maana yake ni nini? Kesi ya uhaini hapo ipo wapi; na hiyo hukumu ya kesi ya uhaini itatokana na nini? Huwezi kutumia akili?
Kwahy anahukumiwa kwa kosa gn?
 
Watawala wamelewa madaraka Lissu angekubali atoke then hawachenjie juu kwa juu hawa jamaa wanafanya nchi mali yao kwa hiyo tumekubaliana mahakama haziko huru angekubali kuondoka nchini wangekuja na siasa za Maji taka kwamba mnamuona Lissu baada ya kuachiwa kakimbia nchi siasa za maji taka
Hilo la kuwachanjia nalo wangetafuta namna ya kumdhibiti ili asiwageuke. Mfano kumfanya aonekane kwenye makaratasi kuwa anao uraia pacha.
 
Baada ya Samia kujitangazia ushindi!

Kamwe Samia hataweza kuwa na utawala tulivu muda wake wote kwenye madaraka atakayo nyakuwa kijambazi.
Na wewe keyboard warriors kwa kujipa umuhimu feki hujambo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ninapata tabu kufikiri ni namna gani anaweza kuongoza kwa miaka mitano!!!
Kwanza atakuwa mwovu zaidi kuliko alivyo kwisha onyesha katika hii miaka ya kuokota barabarani.
Ataivuruga sana nchi huyu, na wananchi wenyewe watavurugika sana. Kuibuka kwa makundi hatari ndani ya jamii, yakihatarisha usalama wa makundi mengine halitakuwa jambo la kushangaza.
 
Wewe umeiona wapi kesi ya uhaini?
Watu mmepewa akili na Mwenyezi Mungu muitumie vizuri;. Sasa jiulize mwenyewe, kwa nini hukuumbwa ukawa ng'ombe au kondoo, kama huwezi kuwa na akili za kibinaadam!
Kwani wewe na ng'ombe mna tofauti gani? Wote ni mammals
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom