Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,

Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo

Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe

Britanicca
Aisee
 
Watawala wamelewa madaraka Lissu angekubali atoke then hawachenjie juu kwa juu hawa jamaa wanafanya nchi mali yao kwa hiyo tumekubaliana mahakama haziko huru angekubali kuondoka nchini wangekuja na siasa za Maji taka kwamba mnamuona Lissu baada ya kuachiwa kakimbia nchi siasa za maji taka
 
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,

Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo

Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe

Britanicca

Hata akina Mandela walifungwa na kupoteza sifa za kugombea. Mwisho wote tunajua nini kilitokea. Hizi kesi za kisiasa mwisho wake wote tunaujua.
 
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,

Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo

Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe

Britanicca
Hawa jamaa wajinga sana..

Wanamwendeaje mtu ambaye wanajua kabisa si mtu wa namna yao na si mshirika wa uovu wao, si mtu wa kupenda kupindisha pindisha mambo waki assume kuwa atawakubalia....?

Alikataa pesa (haina shaka kuwa yalikuwa mabilioni kadhaa) ya Abdul mwana wa malikia ambayo yalikuwa wazi, yasiyo na sharti la kijinga na kipuuzi kama hili na ya kuletewa nyumbani kabisa wategemee kuwa wangeweza kumwingiza kwenye mtego wa kijinga namna hiyo ndani ya gereza huku akijua kabisa kuwa, hana makosa na wanamuonea tu..?

Tumuunge mkono huyu mtu maana ni mtu wa HAKI kwa hakika. Ndiye aifaaye Tanzania kwa sasa...
 
Back
Top Bottom