Nani mataga fala wewe? Acknowledge unapochukua chapisho kwa mtu,Hao ni mataga achana nao
Baada ya Samia kujitangazia ushindi!Afubgwe ndani ya miezi michache aachiwe
Unafikiri nababaisha ?Una ushahidi wowote.
Lissu ndio kamweleza Makamu mwenyekiti wake gerezani, pamoja na baadhi ya mawakili walio mtembelea Lissu gerezani, Magoti ndio kapata hizo info kwaoTito Magoti katonywa na nani?
Una maana hii??Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
Wewe umeiona wapi kesi ya uhaini?Kesi ya uhaini, rais anauwezo wa kumsamehe mtu?
Unalombwa ww.Wewe umeiona wapi kesi ya uhaini?
Watu mmepewa akili na Mwenyezi Mungu muitumie vizuri;. Sasa jiulize mwenyewe, kwa nini hukuumbwa ukawa ng'ombe au kondoo, kama huwezi kuwa na akili za kibinaadam!
Mbona ulichelewa sana mkuu 'Tate'!Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
Ninaposema unazo akili za mnyama, elewa maana yake ni nini? Kesi ya uhaini hapo ipo wapi; na hiyo hukumu ya kesi ya uhaini itatokana na nini? Huwezi kutumia akili?Unalombwa ww.
Mbona wenzako walionijibu wamenijibu kwa akili.
Umeelewa nilichokiandika.?
kwan lissu anahukumiwa kwa kosa lipi? Kosa la kuiba kuku au?
Maza ni mweupe mpaka basi. Kwenye mahojiano na Kikeke enzi zile yuko BBC wakati ndiyo ametoka tu kuokota embe dodo chini ya mwarobaini, ndiyo niligundua tumepigwa.Mbona ulichelewa sana mkuu 'Tate'!
Huyu tabia zake mbaya zilianza kujionyesha kungali mapema sana; enzi zile za Mbowe gerezani na baadae kwenye maridhiano.
Nilimwita Magufuli "shetani katika kiwiliwili cha binaadam"; huyu naye ni hali hiyo hiyo.
Nilijua niko peke yangu kumbe tupo wengi🤣🤣🤣. Nikiona hata picha yake nahisi kichefuchefu🚮.Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
Hiyo ndiyo tabia halisi ya huyu Samia.Maza ni mweupe mpaka basi. Kwenye mahojiano na Kikeke enzi zile yuko BBC wakati ndiyo ametoka tu kuokota embe dodo chini ya mwarobaini, ndiyo niligundua tumepigwa.
Maana aliongea kwa kujiamini ya kwamba wana ushahidi usio na shaka wa Mbowe kujihusisha na ugaidi! Halafu baada ya kesi kuanza kusikilizwa, tuliishia tu kuona vituko kutoka kwa mashahidi wa mchongo.
Hauko peke yako aisee. Tuko wengi sana.Nilijua niko peke yangu kumbe tupo wengi🤣🤣🤣. Nikiona hata picha yake nahisi kichefuchefu🚮.
Sasa sijui hali itakuwaje endapo italazimu kuwa na sura hii miaka mitano, kumi au zaidi na sura hii hii!Nilijua niko peke yangu kumbe tupo wengi🤣🤣🤣. Nikiona hata picha yake nahisi kichefuchefu🚮.
Umeipata wapi habari hii.Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca