Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,504
- 3,188
Hiko chuma hata upige magumashi ukifunge ukiachie akitoka ataenda kukata rufaa Africa huyo ni Simba kweliTimu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda mrefu ila ndani miezi michache alafu atolewe kwa msamaha wa Rais na akose kigezo cha kugombea, David Kamote naye anazingua sana tupo na tutakuwapo
Ukinikatalia basi yatajulikana muda ukishaga pita na wanaotukana wanaombaga msamaha wenyewe
Britanicca