Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Hivi mbowe na watu wake huwa hawasomi mitandaoni aone jinsi asivyotakiwa kugombea tena? Anashupaza shingo huku anaona kabisa hatakiwi tena kuwa mwenyekiti. Kama si dikteta ni nani kung'ang'ania madaraka huku hatakiwi?
 
Mbowe unga unga mwana sana shule
 
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Mimi napenda Lissu ashinde.Lakini naelewa mazingira ya kushinda Lissu ni magumu.Hapo uliposema wenyeviti wa kanda 7 tu hawawezi kuamua mwenyekiti ingeeleweka zaidi kama ungechambua wajumbe wote wa mkutano mkuu na namna wanavyoweza kuathiri na kuchagua mwenyekiti wa chama Taifa.Composition ya kamati kuu ni
i)wajumbe wote wa baraza kuu
(ii)Wenyeviti wa chama wilaya/majimbo
(ili)Makatibu wa chama wilaya/majimbo
(iv)Wabunge wa JMT
(v)Wajumbe 20 wa kuteuliwa
(vi)Mjumbe mmoja wa kuteuliwa kila wilaya

Ukiangalia kwa makini hii composition unaelewa kabisa kuwa huyo fisadi Mbowe ameshajiwekea mizizi kuanzia wilayani......Mfano hao wajumbe wa kuteuliwa kutoka kila wilaya unadhani sifa kuu yao ni ipi kama sio kuwa pro incumbent?Kuna wilaya ngapi?Bado hao 20 wa JMT.Hapo bado hujagusa turufu kuu ya incumbent ambayo ni baraza kuu.Kuna wabunge 19 wale ni wapiga kura pia...unadhani watamuacha Godfather wao?

Hivyo basi hoja yako namba moja yapaswa kugusa kura za hao wajumbe wote wa kamati kuu na si vinginevyo
 
Hata kama mbowe atapata kura 3 ndiye mshindi ndiye mwenyekiti hadi kifo mtu wa kuja tu lissu atusumbue? Matatizo aliyoyapata si kiherehere chake kutokuheshimu watu na serikali ana mdomo mchafu sana yule
 
Bw. New force naona hujui kuwa hujui ! Lissu alianza mbio kabla kipyenga kulia akidhani atashinda mbio Mwamba , sasa kafika njiani mwendo umesuasua wakati Mwamba ndo kaanza kuchanganya ! Ni dhahiri Lissu ana kazi ngumu
Hamjasema ! Baado sana mtasema tu !
Nikukumbushe bila ya mwamba saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
N kama hujui maana ya shimo la Tewa nenda ka google !
 
Bw. New force unazungumzia tetesi za Mwamba kulamba asali, mi nilidhani una ushahidi kumbe ni tetesi tu ???!!!
lakini nikukumbushe tu huyu mwamba ni mwamba kweli sio mchezo mchezo na CCM wanalijua hilo
Sasa utamlinganisha mwamba na mpayukaji ?? Mwamba anakwenda kimya kimya hakuna kupayuka payuka ovyo.
Angekuwa amelamba asali angezunguka nchi nzima kuimarisha chama ??? Huyo Lissu ye alikuwa anazurula tu ULAYA WAKATI MWAMBA ANAHANGAIKIA CHAMA.
Acheni utani kwenye masuala ya msingi
 
Uchambuzi wa kisayansi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…