900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
endeleeni kumimina pesa za mama abduli tutazila ila kura kwa Lisu na wajumbe tunajuanaMbowe ni mshindi hadi sasa. Lissu atafute chama cha kuhamia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endeleeni kumimina pesa za mama abduli tutazila ila kura kwa Lisu na wajumbe tunajuanaMbowe ni mshindi hadi sasa. Lissu atafute chama cha kuhamia.
Miaka 21 hii sio demokrasiawameifukuza CHADEMA huko kwa kusema wana vurugu. huenda nao wamechukizwa na mbowe kuchukua fomu
Ni kweli mmepewa hela mkuu?endeleeni kumimina pesa za mama abduli tutazila ila kura kwa Lisu na wajumbe tunajuana
Mbowe unga unga mwana sana shuleKwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),
Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,
Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.
Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.
Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.
Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.
2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.
3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.
×××××××
Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

Anahubiri demokrasia hewa, haishi kwa kauli zake, (he does keep his words)Mbowe aone aibu
Anatutia aibu kubwa snMiaka 21 na huna hata kijiji unasema unataka kuendelea kuongoza
Ametuambisha sn aseeAnahubiri demokrasia hewa, haishi kwa kauli zake, (he does keep his words)
Safari hii kapatikana, ataondoka kwa aibu.Anahubiri demokrasia hewa, haishi kwa kauli zake, (he does keep his words)
Yaani bwana mbowe amebadilika sana , pale chadema anataka awe kama mtemi au mfalme wa chamaMbowe anauchungu na chadema kuliko roho za vijana zilizopotea kwa kukipigania chama huku wanae wakifaidi na kujiandaa kurithi kiti Cha baba yao 😀😀😀😀
Hahaha ashinde halafu ahame chama, mbona ajabu hii?Mbowe ni mshindi hadi sasa. Lissu atafute chama cha kuhamia.
Uchambuzi wa kisayansi kabisaKwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,