Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tatu (3 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani Kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically utaungwa mkono na walio chini yao jibu ni HAPANA,

Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara pili swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kabisa.

Tujiuluze kwa polepole kabisa huyu Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliokataa kurudisha Wenyeviti wa Kanda waliohudumu miaka mitano tu akiwemo Peter Msigwa,Kisayansi nikisema hata yeye hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAWATAMCHAGUA PIA.

Hii itakuwa ni scenario mpya kwa wapigakura hawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu lakini wewe utegemee wapigakura haohao waje wakuchague wewe uliyekaa madarakani kwa miaka 20.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi kabisa tayari Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi.

2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayopitia wapigakura hawa ni makubwa nadhani kuliko kiasi chochote Cha fedha hivyo wapigakura hawezi kuchagua Ofisi na pesa ambazo hata haziwafikii watachagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wanaowaongoza ila kamwe hawezi kuchagua pesa na mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo ni mwiko na taboo kwa CHADEMA, Kwa tetesi zote hizi Mbowe haaminiki tena kwa wadau wa maendeleo wa CHADEMA wandani na nje ya nchi hivyo kumchagua Mbowe ni kufunga kabisa milango yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa na kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa kwa wajumbe ni kielelezo kingine namba 4 kwamba Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si Utamaduni Wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani.

×××××××
Kimahesabu ndio hivyo ila kimatokeo ndio tunasubiria
 
Ndiyo maana Mbowe anaweza kujibadili kuwa shetani kamili kwa kushirikiana na samia na ccm hili kubaki madarakani kwa gharama yoyote hata kwa damu...maana tayari kesha poteza utukufu hivyo ni kujiunga na MJALAANA SAMIA BUSHIRI NA ABDUL NA KUUNDA KUNDI LA KISHETANI NDANI YA CHADEMA HIKI KINAKWENDA KUTOKEA KAMA MBOWE ATAENDELEA KUWA KITINI BAADA YA HUU UCHAGUZI ....GENIUS SIKOSEI NINACHO SEMA 100%
 
MBOWE katia aibu, hata kama katiba inamruhusu kugombea Tena. MBOWE ni Museveni wa CHADEMA
"MUSEVEN" analinda biashara zake

Watoto wa Mama.jpg
 
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Kama watamchagua Freeman Mbowe basi hiyo itakuwa ni scenario mpya kabisa kwa wapigakura hawa wenye tabia hii ya kuchoshwa na viongozi wa kuwaongoza kwa vipindi zaidi ya kimoja tena hawahawa waliokataa kuwarudisha wenyeviti wa Kanda waliodumu kwa miaka mitano tu Freeman Mbowe anayetegemea wapigakura hao hao waje wamchague yeye aliyekaa madarakani kwa miaka 20 mfululizo hili litawezekana kweli? Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi wao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA wandani au nje ya nchi hivyo wajumbe wataona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hivyo Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
Mbowe akitaka abakiwe na heshima kidogo iliyobaki kwa Watanzania akubali kushindwa.
 
Bw. New force naona hujui kuwa hujui ! Lissu alianza mbio kabla kipyenga kulia akidhani atashinda mbio Mwamba , sasa kafika njiani mwendo umesuasua wakati Mwamba ndo kaanza kuchanganya ! Ni dhahiri Lissu ana kazi ngumu
Hamjasema ! Baado sana mtasema tu !
Nikukumbushe bila ya mwamba saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
N kama hujui maana ya shimo la Tewa nenda ka google !
Hoja ya kingese kabisa. Lissu kuwa hai ni mpango wa Mungu, acha kuja na hoja za KITOTO unajiabisha bure
 
Kwani kura zinapigwa mitandaoni?
wapiga debe wamihemko ndio wanao taka lissu. Hawo wote huenda siwanachama.

wanachama ndio wanao taka Mbowe aendelee.
Magonjwa Mtambuka
Stuxnet
MamaSamia2025
USSR

Hao hapo juu kwa uchache ni wana CHADEMA !!?
Hao na wengine wengi ambao ni wana Lumumba kindakindaki ndio wanaompigia Mbowe aendelee!
Common sense yako haikuambii kitu hapo!!??
 
NDIO AMESHAMSHINDA MBOWE KWA MANENO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII !
BAHATI NZURI MBOWE SI MPENZI WA MITANDAO YA KIJAMII
 
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Freeman Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Freeman Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Freeman Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Kama hivyo ndivyo tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua kwa kuwa anamiaka 20 madarakani nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Freeman Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni kwao na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi kwao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi na tuhuma zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA ikiwa ni wandau wa ndani au wanje ya nchi, Nirahisi wajumbe kuona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hii pia ishara kuwa Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama na wajumbe ni ngumu kuchagua Freeman Mbowe na kuacha michango na misaada ya wahisani.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao kuhongwa ili kumchagua Mwenyekiti wao wa Taifa.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
Nakubaliana na wewe
 
Mbowe na master sana kwenye kuzisaka faranga aongezewe miaka 5 ya mwisho
 
Bwanabwana ,umeasahau ile picha ya liidude likubwa kabiisa?
Sema LISU ni kiboko ya mbambamba.
 
View attachment 3184279

Kinara cha Taa kimeshatoka kwa Mbowe na amepewa Lisu hata Mbowe afanye Figisu na kushinda ila Kama kinara cha Taa kimetoka kwako na Mungu amempaka mwingine awe Mfalme ata utumie Pesa na mali zako yatakuwa tu kama yale ya Mfalme Sauli na Daudi. Mbowe aelewe kuwa ufalme wake umepimwa ktk minzani nakuonekana ni mwepesi kama karatasi anashupaza shingu tu kwakuwa uenyekiti unampatia yeye binafsi exposure kubwa ktk shughuli zake binafsi kwahiyo sababu ya kung'ang'ania ni maslai yake binafsi na si ya Chama. Angekuwa na malengo mazuri angejitahidi kuwaunganisha wanachama na mashabiki wachama lakini yeye anajiita siyo Mbangaizaji wakati wanachama wako asilimia kubwa wanapata misuko suko kibao kwenye shughuli zzao za kutafuta maisha kwa sababu yakukipigania chama. Mbowe ashinde au ashindwe hana nafasi tena ya uongozi CDM wala hatakuwa na ujasiri wowote wakusimama mbele za watu kuwaambia chochote atabaki kama kasha tupu, Ila CDM haitakufa ila itaparalise.
 
Mbowe akirudi kuwa mwenyekiti imani yangu na CHADEMA itakuwa imefikia kikomo Lissu ndo kipenzi cha watu maana huyu icon ya Taifa.
 
View attachment 3184279
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Freeman Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Freeman Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Freeman Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Kama hivyo ndivyo tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua kwa kuwa anamiaka 20 madarakani nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Freeman Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni kwao na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi kwao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi na tuhuma zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA ikiwa ni wandau wa ndani au wanje ya nchi, Nirahisi wajumbe kuona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hii pia ishara kuwa Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama na wajumbe ni ngumu kuchagua Freeman Mbowe na kuacha michango na misaada ya wahisani.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao kuhongwa ili kumchagua Mwenyekiti wao wa Taifa.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
Acheni unafiki , tuache kura ziongee
 
Back
Top Bottom