Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?Kwa nchi ombaomba kama hii, linaweza kufanikiwa kwa shinikizo toka nchi mnazoita wahisani.
Yapi?No reforms No election.
Mabadiliko yafanyike.
Naona ndo anachopendekeza.Kwa hivyo twende na Samia hadi 2030 kwa mfano ikisha agombee kipindi chake cha pili?
Mmhh kuhusu kuandamana hapo sioni kama tutafanikiwa.Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Unafahamu wanachangia % ngapi kwenye bajeti ya nchi?Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?
Hamjui mnachoongea.Kama kina Burkifaso na umaskini wao wamewatimua Western sembuse Tanzania ?
Nafahamu,less than 10%Unafahamu wanachangia % ngapi kwenye bajeti ya nchi?
Traore wa Burkinafaso na rais wako ni sawa na mlima na kakichuguu, huwezi kuvilinganisha.
Msikilize anavyoongea kwanza, Wasira ni debe tupu yeye atapambana na rais, no reform no election itawezekana tuu mlimzoea mbowe kucheka cheka naye na mulifanya juhudi kubwa sana Tundu kumzuia asiwe mwenyekiti sababu ndio hizi sasa mtapambana naye kama mtaweza,Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Katiba Mpya wanazotaka kina Lisu na Chadema ndio kama hizi za huko Kenya 😂😂👇👇Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Si lazima kuandikwa katiba upya, yanaweza kufanyika marekebisho kwa baadhi ya vifungu vya katiba hiihii, jambo lisilohitaji miaka kufanyika.Golden chance kwa ccm na samia , uchaguzi utasogezwa mbele hadi 2030 kupisha maandalizi ya katiba mpya au sheria mpya za uchaguzi .
Natumaini hajawaza vizuri, au hajashirikisha vizuri kama hili ni azimio lake.
My lord Tanganyika yetu !
Tutavuka kweli?
Tusubiri tuone yanayokujaKwa nchi ombaomba kama hii, linaweza kufanikiwa kwa shinikizo toka nchi mnazoita wahisani.
Umetokwa na uharo utafikili umekula maharage na mayai vinzaHuyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Samia akiona hiyo video ni Kingi kabisa kama ulivyosema kukaa next 4 yrs bila uchaguzi anakula bata kabisaTL kuwa makini, Hiyo kete unayoisogeza kwa ccm inaweza ikawa king kwa ccm.
Naona unataka kumpa raisi Dr samia muda zaidi.
Kete ikitumika vizuri Mchakato wa mabadiliko ukaenda mpaka 2028 tarehe ya uchaguzi ikatangazwa 2030 na Samia akashinda hiyo inaitwa Free ride.
Muda haupo,mwaka juzi na Jana kulitolewa mida wa kufanya marekebisho na Vyama vitoe mapendelezo Chadema walodharau.Si lazima kuandikwa katiba upya, yanaweza kufanyiwa marekebisho kwa baadhi ya vifungu vya katiba hiihii, jambo lisilohitaji miaka kufanyika.
Chama sio Cha Samia Bali Cha Wana ccm ndio watasema wako tayari au hapanaSamia akiona hiyo video ni Kingi kabisa kama ulivyosema kukaa next 4 yrs bila uchaguzi anakula bata kabisa
Kumekucha!Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa