Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nchi ombaomba kama hii, linaweza kufanikiwa kwa shinikizo toka nchi mnazoita wahisani.
Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?

Hamjui mnachoongea.Kama kina Burkifaso na umaskini wao wamewatimua Western sembuse Tanzania ?
 
Ili wapate nini hasa kwenye ulimwengu huu wa ushindani wa kiuchumi?

Hamjui mnachoongea.Kama kina Burkifaso na umaskini wao wamewatimua Western sembuse Tanzania ?
Unafahamu wanachangia % ngapi kwenye bajeti ya nchi?

Traore wa Burkinafaso na rais wako ni sawa na mlima na kakichuguu, huwezi kuvilinganisha.
 
Golden chance kwa ccm na samia , uchaguzi utasogezwa mbele hadi 2030 kupisha maandalizi ya katiba mpya au sheria mpya za uchaguzi .

Natumaini hajawaza vizuri, au hajashirikisha vizuri kama hili ni azimio lake.

My lord Tanganyika yetu !
Tutavuka kweli?
 
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
Msikilize anavyoongea kwanza, Wasira ni debe tupu yeye atapambana na rais, no reform no election itawezekana tuu mlimzoea mbowe kucheka cheka naye na mulifanya juhudi kubwa sana Tundu kumzuia asiwe mwenyekiti sababu ndio hizi sasa mtapambana naye kama mtaweza,

Tanzania ilihitaji kiongozi wa aina hii muda mrefu, kama mnahitaji kufanya uchaguzi na ACT tu mtawaeleza hao washirika wenu wanaokupeni fedha kuendesha nchi yenu na miradi ya maendeleo
 
maandamano si kweli

sidhani kama masses ipo tayari

ataandamana Lissu na group lake wote wataishia korokoroni na kesi za kuwapotezea muda ikifika october uchaguzi unafika CDM itakosa kiti chochote na ACT itachukua nafasi ya CDM

hapo ndio mwanzo wa CDM kua kama TLP ya Lyatonga

LIssu afikirie mbinu kali zaidi,hii kuna shida na itafeli

Binafsi nipo CDM ila sifanyi usenge wa kuandamana for nothing,na binafsi sitaki mtu aende barabarani kuandamana coz of political leadership which is totally bulshit

Fvck politicians,all of em!
 
Golden chance kwa ccm na samia , uchaguzi utasogezwa mbele hadi 2030 kupisha maandalizi ya katiba mpya au sheria mpya za uchaguzi .

Natumaini hajawaza vizuri, au hajashirikisha vizuri kama hili ni azimio lake.

My lord Tanganyika yetu !
Tutavuka kweli?
Si lazima kuandikwa katiba upya, yanaweza kufanyika marekebisho kwa baadhi ya vifungu vya katiba hiihii, jambo lisilohitaji miaka kufanyika.
 
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.

Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?

Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?

Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?

Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.

Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.

Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.

Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?

Mpumbavu!
Umetokwa na uharo utafikili umekula maharage na mayai vinza
 
TL kuwa makini, Hiyo kete unayoisogeza kwa ccm inaweza ikawa king kwa ccm.
Naona unataka kumpa raisi Dr samia muda zaidi.

Kete ikitumika vizuri Mchakato wa mabadiliko ukaenda mpaka 2028 tarehe ya uchaguzi ikatangazwa 2030 na Samia akashinda hiyo inaitwa Free ride.
Samia akiona hiyo video ni Kingi kabisa kama ulivyosema kukaa next 4 yrs bila uchaguzi anakula bata kabisa
 
Si lazima kuandikwa katiba upya, yanaweza kufanyiwa marekebisho kwa baadhi ya vifungu vya katiba hiihii, jambo lisilohitaji miaka kufanyika.
Muda haupo,mwaka juzi na Jana kulitolewa mida wa kufanya marekebisho na Vyama vitoe mapendelezo Chadema walodharau.

Wengine walitoa na ndio maana inaitwa Tume huru ya Uchaguzi Kwa Sasa na hakuna kupita bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom