Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado tu watu hamjapona vidonda vya uchaguzi......
 
Atapambanaje Sasa na Rais? Amesema maandamano watakaoandamana ndio nyie wa humu jf? 😆😆
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hana hiyo jeuri asije kurudi Kwa Amsterdam
 
Samia akiona hiyo video ni Kingi kabisa kama ulivyosema kukaa next 4 yrs bila uchaguzi anakula bata kabisa
Na hayo mabadiliko wala yasije kwa kiwango cha kusaidia upinzani na Samia akashinda uraisi 2030-2035. Halafu 2035 chadema kikataka mwenyekiti mpya.
 
Atafute namna nyingine tuu hii ya maandamano kwa watanzania ni uongo imesha shindwa, serikali inajua kabisa yakitangazwa maandamano wao watatoa vitisho kidogo tuu na hakuna atakae ingia barabarani afikirie upya
Sasa atafanyaje si kasema hataki mazungumzo 😆😆

Hana jeuri niliwaambia haijatoka Jupiter kuwa Mwenyekiti wa Chadema alikuwepo humu humu.na hana jipya ataleta.
 
Nafuu Lissu ana mawazo ta Wakenya, haki na katiba, Lissu anataka kuzika nadharia ya bao la mkono.
 
Mkuu utakua uhemewi kweli?
 

Tunataka sasa uingie barabarani kudai katiba, tume huru n.k kutia mbinyo hii ya kujenga hoja katika press kina Freeman Mbowe tumeisikia kwa miaka mingi

Mwenyekiti mheshimiwa Tundu Lissu itisha maandamano yasiyo na kikomo haya mambo ya kurushiana vijembe muda unakwenda bunge litavunjwa mwezi June bila sheria kurekebishwa na pia October 2025

Tupo tayari kuingia barabarani, itisha maandamano yasiyo na kikomo kila kona . Kiongozi mkuu mpya huja na staili mpya ya kuendesha mambo, staili za uongozi wa chama uliopita zimefeli umetuambia.

Sasa ongoza kwa staili mpya ya CHADEMA hadi CCM wakubali kubadilisha sheria, bunge, uteuzi wa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi bila kuwepo hivi vitu vinavyopoteza muda kupitia mazungumzo ya maridhiano, baraza la vyama vya siasa, viongozi wa dini wanafiki au Tume ya Mapendekezo ya Katiba Mpya
 
Tume ya uchaguzi iwe huru kweli kweli. Isiwe tume ya ccm. Pia sheria za uchaguzi zionekane ziko huru.

Sheria ziseme chama kitakacho kamatwa kinaiba kura au kikiwa na viashiria vya kuiba kura kifanywe nini !

Na mengine mengi.

Yeyote anayejaribu kuzuia mabadiliko kwa sababu ana kiburi na tamaa ya madaraka Mwenyezi-Mungu aingilie kati , amuondoe ili mtiririko wa mabadiliko usikwame.
 
Bado hamjasema.
 
Sawasawa, Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Kuingia katika uchaguzi huku unajua uanenda kuibiwa ni ujinga mtupu/
Kufanya uchaguzi feki usio wa haki ni kupoteza pesa za wananchi!
 
Vyote hivyo vimetekelezwa.
 
Ili Uchaguzi usogezwe mbele inabidi bunge libadilishe vifungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…