Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..Sheria za uchaguzi zirekebishwe.

..Kama muda hautoshi kurekebisha, uchaguzi uahirishwe.

..Ni hoja rahisi sana kuipinga, au kuiunga mkono.

..Hakuna haja ya matusi.
 
Ili Uchaguzi usogezwe mbele inabidi bunge libadilishe vifungu.

..Sababu za kulazimisha uchaguzi ufanyike chini ya sheria mbovu ni zipi?

..Kama hatutaki kuahirisha uchaguzi basi tusijicheleweshe kurekebisha sheria na kuunda Tume Huru.
 
Mlipojaribu kumzuia asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA kilitokea nini?
 
Sasa nikuulize unaweza kwenda kushindana na adui ambaye amejiandalia mazingisa yote ya kushinda!?
 
Wewe nenda kaoshe vyombo kwa Diamond, haya mambo unayotaka kuchangia na kuyajadili ni mazito sana kwako.
 
Samia akiona hiyo video ni Kingi kabisa kama ulivyosema kukaa next 4 yrs bila uchaguzi anakula bata kabisa
Anasukuma kete kama anateleza maana swala la miaka 6 limezungumzwa sana ikisemakana yeye utawala wake wa miaka mitano ulikuwa bado kwa kuwa mwingine aliutumia mzee wa Chato
 
Akajitafakari upya! Vinginevyo watakuwa wamempitisha Rais Samia wao wenyewe
 
Inawezekana una point ya maana. Ila upumbavu wako umeanikwa kwa matusi uliyotoa.
 
..Sababu za kulazimisha uchaguzi ufanyike chini ya sheria mbovu ni zipi?

..Kama hatutaki kuahirisha uchaguzi basi tusijicheleweshe kurekebisha sheria na kuunda Tume Huru.

Siyo kwa SIRIKALI hii.
 
Wewe ni masaburi kabisa! Kima wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…