Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pesa chafu zipi? Za kununua Jengo la Makao Makuu? Umeishasikia Lissu amegoma kuingia humo? Au ushasikia anasema ataliuza kwasababu limetokana na fedha chafu? Una ushahidi huwa hachukui posho za vikao?
We kweli bado mtoto wa shule.
 
Mimi mfano wa kiongozi mzuri nchi hii ni Lissu tu, familia ipo uhamishoni kutokana na mlichomfanyia na mzalendo wenu jiwe, na pia mnachokifanya sasa na mama enu kuteka na kuwapoteza wakosoaji na wasema ukwel wa taifa hili. Kwa roho ya uzalendo aliyonayo ameamua kuja kupambana mwenyew bila kuathiri usalama wa familia yake.
 
We kijana reasoning yako ni ndogo sana, kama familia yako iko kwenye hatihati ya kutekwa na kushambulia kwann usiwekeze family yako mbali na nchi yako mama.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
We kijana reasoning yako ni ndogo sana, kama familia yako iko kwenye hatihati ya kutekwa na kushambulia kwann usiwekeze family yako mbali na nchi yako mama.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Pointless! Kabla ya Uchaguzi uliopita Uganda, Kyagulanyi alitegemewa kupata kura nyingi sana, lakini Waganda wakapenyezewa na wakuda kuwa wiki moja kabla ya uchaguzi alikuwa ameipeleka familia yake nje ya nchi! Waganda wakakasirika hadi yeye Kyagulanyi akalalamika kuwa Serikalya M 7 ilitoa hiyo Siri ili akose kura na ikawa hivyo!

Ninyi huku mnamsifia Lissu kupeleka familia yake nje ili akianzisha vurugu, watoto wenu wafe sio? Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao!!!
 
Sawa. Bila shaka akianzisha harakati zake wewe na familia yako mtakuwa nae bega kwa bega mkikiwasha! All the best!!
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Chadema chini ya Mbowe kina asilimia ngapi uchaguzi WA serikali za mitaa uliopita
 
Lissu anasema Abdul alipelekwa kwake na kiongozi wa CDM, hili ni kweli ama si kweli!!???
Huo ukweli anao Lisu, pia alisema kikao kili kuwa recorded, umeiona hiyo recording au hata picha ya kikao hicho, au tunaamini tu kwasababu Lisu kasema?

Kwasababu wanarushiana maneno, ni muda sasa walete ushahidi.
 
Ukiona mamaako kachepuka nakwenda kumwambia babaako kisa unasema ukweli? Ahahahaha!!
Hapo ndio uwezo wako uliorithishwa umefikia hapo.

Kwa hiyo mama yako anaweza kukushirikisha habari za mchepuko wake nawe utakaa kimya ukijua hiyo ndiyo hekima?
 
Ninachosema ww ndio ukielewi iyo Lisu kabla ya alakati izi za sasa nyuma kama miez 2 au mmoja uko nyuma aliitisha mkutano wa wana Habari ndio akatoa madai yake kuwa wapo kwenye mopango yeye na mzungu wake wa kuishtaki kampuni ya Tigo na Serikari tena alikuwa anaongea kwanyodo sana akisema kesi hii najua nitaikamua serikali mipesa mingi sana. Sasa izo pesa zanani ni za ao aliwataja kuwa ndio watuumiwa wake. Au nipesa za serikali. Mnaomtetea apendi pesa jibuni apa tukiwaamboa iyo jamaaa atakiwa mwiziii kama wezi wengine ktk nchi yetu yeye si kasoma sheria kwanini mdai yake ayaeleleze kwa serikali badala ya mtu binafsi. Sheria anajua lkn anazitumia kwaajili ya mipango yake natoa mfano uyu uyu Lisu alipokamatwa kule mbeya akadai atawafungulia kesi watumish wawili wa makao makuu ya jesh la polisi kwakua kuzuiwa kwao kule mbeya ni kinyume na sheria na kwakuwa katiba imeruusu maandamano na mikusanyiko inamana awa polisi wamevunja sheria kutuzuiya awanasababu ivyo tutawafungulia kesi wao binafsi sio jeshi la polisi. Lisu ndio kasema ayo. Kumbe snafaam kwenye nafasi za uwongozi yawezekana afisa wa Serikali akafanya kitu kiko nnje ya Katiba nje ya sheria zote zinazounda jamuhuri ya muungano kwaiyo achukue sheria kuwashtaki wao binafsi kwakukiuka miongoza ya nafasi yake na cheo chake. Lkn yeye anataka kuishitaki Serikali ili akwapue pesa za Wananchi. Ambao awakumtuma mtu yoyote kumzuru yeye LISU. Pesa ni zawana nchi sio za mtu yoyote mwenye ugomvi nayeye. Lisu.
 
Narudia tena, omba kueleweshwa badala ya kutoa ufafanuzi juu ya mambo usiyoyajua. Ukiendelea kuleta ubishi baki hivyohivyo
 
Kumbe Wenje anajua sana kuzusha? KHA!🤥😲
 
Kanyoosha rula!
Kumbe Wenje alitungatunga maneno tu kujikosha!
Lissu ni mnyama sana hii interview ameuwa sana, mbowe hana namna tena na ata akirudi kuwa mwenyekiti hatakuwa tena na nguv lakini wenje aka dalali ndio anaenda kuitia chadema kaburini kabisa kabisa
 
Ukimuuliza hilo swali majibu yake utajuta, lissu yuko makini sana mbowe hana namna ili chadema isiamame lissu awe mwenyekiti otherwise chadema kwisha habar yake
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Kumfukuza lissu chadema ni sawa na shamba la mahindi kumsusia tumbili., mbowe kama anaakili ni kumpisha lisu na kujitoa kwenye uchaguz
 
Huo ukweli anao Lisu, pia alisema kikao kili kuwa recorded, umeiona hiyo recording au hata picha ya kikao hicho, au tunaamini tu kwasababu Lisu kasema?

Kwasababu wanarushiana maneno, ni muda sasa walete ushahidi.
Wenje amekubali kuwa Abdul alienda naye kwa Lissu!!??
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…