LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Nilisema tangu mwanzo, lissu kusema jambo Hilo nje Kuna sababu, kule ndani haeleweki walishalambishwa, Chadema inabidi isafishwe inanuka rushwa, wenje mtuhumiwa wa rushwa anagombea umakamu mwenyekitiWewe unajua sheria kuliko Lissu?
Wewe unadhani watoa rushwa wanatoa risiti?
Msikilize Lissu (Kwenye Audio Part3) usikie jinsi walivyojaribu kumtega na kumcorner kwenye kamati kuu , ila Ushahidi wake mbele ya kamati kuu ukathibitishwa na mtu mwingine (Marehemu) ndani ya chama, Wakajaribu kurekodi video ya kikao hicho, alipowanyoosha hata video hiyo hawakuitoa!