Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu mstaarabu ni yule anayevumilia hard times hata kama anashutumiwa kwa uwongo! Wewe binafsi HUWEZI kutoa ushahidi wa unachokisema zaidi ya kujazwa ujinga na Mjinga Lissu!
Tatizo lenu CCM imewalea kiwiziwizi na kuwaaminisha kuwa wizi na mwizi ni siri hatakiwi kutajwa hadharani na ndio maana hadi sasa tunaliangamiza taifa hili kwa kuamini kwamba kuwa wasiri kwenye mambo ya hovyo hovyo ndio ustaarabu ndio mana nchi inaingia mikataba ya hovyo kisirisiri na wajinga kama wewe mlio kuzwa kiwiziwizi mnaona sawa tu
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Umelelewa vibaya kwenu wewe.
 
Wakuu,

Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine.

Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake.

Alipoenda kumpa rushwa alitolewa nje, na siyo kwenda kuchukua docs za madai ya Lissukwahiyo wenje kadanganya.

Haya sasa mambo yanazidi kuwa matamu.

Kufatilia session hiyo washa VPN ukafaidi, bila VPN huwezi kusikiliza, ni kwenye channel ya Sauti ya Watanzania.

View attachment 3183679
View attachment 3183680
Lissu ana usemi gani kuhusu hii hapa chini
 
Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Unajua kama JK ana mjengo Marekani?
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Akiwachapa kwenye mshono mnaita kuropoka. Mnapenda siasa za kubembelezwa bembelezwa, kuitwa wanyonge msiojiweza huku mkiambiea mnapiganiwa kwakua ninyi ni wanyonge.
 
U
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haupokiropoki!".
Unataka kusemaje!
Mtu kusema ukweli ndio sio ustarabu.
 
Yani wewe kwa akili hizi umefika chuo kikuu? Kama ni kweli basi ni msiba kwa Taifa, inabidi tusomeshe watoto vyuo vya nje.
Kwani wewe ni PhD wa miezi 3 hapo parokiani kama Dr Slaa? 😂😂

Huko nje ndio wavulana wenu mnaolewa 🐼
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Wabaki salama au waendelee kupokea pesa chafu kama alivyosema Lissu?
 
Tundulissu - ni tofauti na wanasiasa wote Tz maana yeye amewekeza katika haki, ukweli na kuipiga rushwa, labda Kwa mbali tumfananishe na Nyerere

Kuna mjinga mmoja nimeona anajaribu kumfananisha Lissu na yule jamaa aliyekuwa anatesa watu bila makosa na kutoa vitisho bila kufata sheria.
Lissu ni mkweli, haki na mpenda kufuata Sheria na taratibu.Wanasiasa wengi ni waongo
 
Back
Top Bottom