Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tulishavuka huko, Zito anajua alichokua anakifanya. Hizo ni scenario mbili tofautiSawa. Vipi Zitto? Na yenyewe ilikuwa demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishavuka huko, Zito anajua alichokua anakifanya. Hizo ni scenario mbili tofautiSawa. Vipi Zitto? Na yenyewe ilikuwa demokrasia?
Lissu kwa mara ya kwanza kabisa wakati anaongelea suaka hili la Abdul alisema: ' nilimwambia mwambie mama yako anilipe pesa zangu za matibabu'. Abdul alipojibu kuwa amelipwa yeye Lissu alisisitizz kuwa hajalipwa na kumpa nakala yake ya barua ya madai ili ampelekee Mama Abdul ili alipwe kama kweli ana nia ya kusaidia.Wakuu,
Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine.
Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake.
Alipoenda kumpa rushwa alitolewa nje, na siyo kwenda kuchukua docs za madai ya Lissukwahiyo wenje kadanganya.
Haya sasa mambo yanazidi kuwa matamu.
Kufatilia session hiyo washa VPN ukafaidi, bila VPN huwezi kusikiliza, ni kwenye channel ya Sauti ya Watanzania.
View attachment 3183679
View attachment 3183680
Je unamwamini Lissu!Niliuliza hapa Jf mnamwamini Wenje?! 😂😂
Kakwambia shilingi ngapi zimeingia? Kakwambia zimeanza kuingia leo? Mwaka 2010 wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu gazeti la Raia Mwema (sikumbuki toleo) lilitoa taarifa ya kuhamisha miamala ya pesa ya mamia ya mamilioni kutoka kwenye akaunti za Mbowe za Mbowe kwenda kwenye akaunti zake za nje ya nchi.Nenda uko mtu akiwa msema kweli kuwa kuna pesa chafu zinaingia ndani ya chama basi afukuzwe uwanachama
Ahahahahaha! Hata Mbowe mlimtetea sana aendelee kuwa Mwenyekiti. Leo mmevuka huko! Safi sana! Ahahahahaha!!!Tulishavuka huko, Zito anajua alichokua anakifanya. Hizo ni scenario mbili tofauti
Hahaha wewe uliuona huo ushahidi, au ulikuwepo kamati kuu, au kwasabanu kasema Lisu?
Masikio yenu yanasikia sauti ya Lisu tu, na kuamini asemacho Lisu tu.
Wangapi wamesema, hamsikii na hamuamini?
Lisu alisema kikao kili rekodiwa, umeshaiona hiyo record ya kikao au audio yake? Au aliondoka nayo Abdul?
Hivyo kila mtu amuamini kwasababu tu, anajua sheria?
Wanyamwezi WanasemagaBinadamu wanapenda uzushi, ukiwauliza wakupe ushahidi wa hilo, unakuwa chawa tayari.
Ndivyo ilivyo Bongoland !Nenda uko mtu akiwa msema kweli kuwa kuna pesa chafu zinaingia ndani ya chama basi afukuzwe uwanachama
Mmmh ! Bongoland, Bongolala !Kakwambia shilingi ngapi zimeingia? Kakwambia zimeanza kuingia leo? Mwaka 2010 wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu gazeti la Raia Mwema (sikumbuki toleo) lilitoa taarifa ya kuhamisha miamala ya pesa ya mamia ya mamilioni kutoka kwenye akaunti za Mbowe za Mbowe kwenda kwenye akaunti zake za nje ya nchi.
Just imagine kwenye kipindi cha kampeni Mbowe anahifadhi fedha nje ya nchi!! Lissu huyu huyu na Wana Chadema kibao walimtetea Mbowe kuwa ni bilionea na ana haki ya kuwa na fedha na kuziweka popote anapotaka! Leo amekuwa mtu wa pesa chafu? Ahahahahaha!!!
Hicho chama kili survive kwa kuwa Mwenyekiti alikuwepo, tabia yake ya kukimbia kimbia nje ya nchi kila akipata changamoto kidogo, kuna siku chama kitakosa mwenyekiti kwa muda usiojulikana.Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Mbona jana amefafanua vizuri tu kuwa hajakana kumpa Abdul documents zake alichokuwa anakataa ni kauli ya Wenje kuwa motive ya safari yao na Abdu kwenda nyumbani kwa Lissu ilikuwa kumsaidia kulipwa fedh anazoidaia Serikali. Nia ya safari ya Wenje na Abdul kwenda kwa Lissu ilikuwa kumhonga ili asiebdelee kumsema vibaya kwenye majukwaa na Lissu alimtolea nje Abdul kwa kumwambia hiyo hela yake (Abdul) haitaki laikini kama anataka kumsiadia amwambie mama yake amlipe hela anayoidai Serikali,Abdul.alimjibu kuwa Samia anasema bado hajapata nyaraka za madai hayo ndipo akampa nyaraka hizo. Mbona maelezo haya yamenyooka vizuri tu.Lissu kwa mara ya kwanza kabisa wakati anaongelea suaka hili la Abdul alisema: ' nilimwambia mwambie mama yako anilipe pesa zangu za matibabu'. Abdul alipojibu kuwa amelipwa yeye Lissu alisisitizz kuwa hajalipwa na kumpa nakala yake ya barua ya madai ili ampelekee Mama Abdul ili alipwe kama kweli ana nia ya kusaidia.
Sasa Lissu anaporuka kuwa hawakuzungumzia kuhusu hela za matibabu wala hakumtuma Abdul basi Lissu anadanganya.
Ndugu yangu hela ya Abdul hawezi kukusaidia ukatoe sadaka kwenye nyumba za ibada ama vituo vya mayatima ipo kwa ajili ya wanasiasa na waandishi wa habari wampambe vizuri mama yake azidi kumega mkate wa Tanganyika.. ukitaka hela ni simple tu toboa/ kata uzio wa mgodini Mwadui uingie "Bubeshi" ukachote ng'ana.. utakuwa tajiri ununue Nyankole nyingi.M
Mi sijaelewa watu wanataka au wameshahongwa ili wafanye nini. ??!
Wasigombee kwenye uchaguzi au wampigie kura Nani ?!
Basi huyo anayeitwa Abdul’s anamijihela kweli kweli !!
Basi kama ni hivyo na Mimi naihitaji hiyo mijihela ya sadaka !
Nipo pande hii ya kanda ya Ziwa !
Karibu na Maganzo !
Umetisha ndugu Hahaha 🤣Ndugu yangu hela ya Abdul hawezi kukusaidia ukatoe sadaka kwenye nyumba za ibada ama vituo vya mayatima ipo kwa ajili ya wanasiasa na waandishi wa habari wampambe vizuri mama yake azidi kumega mkate wa Tanganyika.. ukitaka hela ni simple tu toboa/ kata uzio wa mgodini Mwadui uingie "Bubeshi" ukachote ng'ana.. utakuwa tajiri ununue Nyankole nyingi.
Anayetakiwa kufukuzwa au kusimamishwa ni Wenje, kwa chama makini na kwa mtu makini anayehubiri uwajibikaji kwanza anatakiwa hata ajiondoe kwenye kinyang'anyiro cha Umakamu M/kiti maana akiendelea na akishinda inamaana chama wamekiuza kwa wapenda Rushwa. Na Mh Lissu ameweka wazi taarifa hizi ili wanachadema waamue kama wana mkabidhi chama mla rushwa au wanamkataa, na kama kiongozi yeyote wa juu anamsapport inamaana Lao ni Moja.Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Sijawahi kuwa chadema Wala CCM ila machawa hasa wa kiume mnajudharilisha sanaSiwezi kuwa Mwana CCM halafu nikawa nyumbu. Nyumbu ni ninyi Chadema. Mlimfanya Mbowe kama Mungumtu leo mnamshangaa kujiona Mungumtu! Ahahahahaha!!!
Kwahiyo hamtaki watu wakweli wawepo?, haya ni matokeo ya kukuzwa kiwiziwiziMimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Mnajua kujitoa ufahamu nyie watu, au kama sivyo basi una uelewa mdogo na akili ndogo sanaLissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Hayo yote kayazungumza kwenye hizo audio. Tatizo hujasikiliza audio.Lissu kwa mara ya kwanza kabisa wakati anaongelea suaka hili la Abdul alisema: ' nilimwambia mwambie mama yako anilipe pesa zangu za matibabu'. Abdul alipojibu kuwa amelipwa yeye Lissu alisisitizz kuwa hajalipwa na kumpa nakala yake ya barua ya madai ili ampelekee Mama Abdul ili alipwe kama kweli ana nia ya kusaidia.
Sasa Lissu anaporuka kuwa hawakuzungumzia kuhusu hela za matibabu wala hakumtuma Abdul basi Lissu anadanganya.
Lisu Domo kwabwa lzma awe na njaa zaid ya kiongozi yyte ndani ya Chadema tatizo ajapata njia za kuchukua iyo mifeza kaona Wenje pengine atajua yeye akitaka cake kubwa zaid ndio akaona Asuse akidhani atatafutwa pekeyake. Kaona kimya ndio kaona amwage mboga!!!!!Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!