Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe unajua sheria kuliko Lissu?

Wewe unadhani watoa rushwa wanatoa risiti?

Msikilize Lissu (Kwenye Audio Part3) usikie jinsi walivyojaribu kumtega na kumcorner kwenye kamati kuu , ila Ushahidi wake mbele ya kamati kuu ukathibitishwa na mtu mwingine (Marehemu) ndani ya chama, Wakajaribu kurekodi video ya kikao hicho, alipowanyoosha hata video hiyo hawakuitoa!
Nilisema tangu mwanzo, lissu kusema jambo Hilo nje Kuna sababu, kule ndani haeleweki walishalambishwa, Chadema inabidi isafishwe inanuka rushwa, wenje mtuhumiwa wa rushwa anagombea umakamu mwenyekiti
 
Lissu kwa mara ya kwanza kabisa wakati anaongelea suaka hili la Abdul alisema: ' nilimwambia mwambie mama yako anilipe pesa zangu za matibabu'. Abdul alipojibu kuwa amelipwa yeye Lissu alisisitizz kuwa hajalipwa na kumpa nakala yake ya barua ya madai ili ampelekee Mama Abdul ili alipwe kama kweli ana nia ya kusaidia.

Sasa Lissu anaporuka kuwa hawakuzungumzia kuhusu hela za matibabu wala hakumtuma Abdul basi Lissu anadanganya.
Wewe hujamwelewa vizuri, msikilize Tena vizuri kwa utulivu utamwelewa lissu
 
Y
Lisu Domo kwabwa lzma awe na njaa zaid ya kiongozi yyte ndani ya Chadema tatizo ajapata njia za kuchukua iyo mifeza kaona Wenje pengine atajua yeye akitaka cake kubwa zaid ndio akaona Asuse akidhani atatafutwa pekeyake. Kaona kimya ndio kaona amwage mboga!!!!!
Pole Sana, humjui lissu
 
Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Alafu wewe utakuwa Shoga kwa 100%, maana unapenda kucheka kishogashoga kweli, eti Ahahahahaha!!! wewe mtoto wewe duuu.
 
Lissu mwenyewe amenunuliwa na Mr. Amsterdam. Na kama sio kweli ebu niambie familia yake inaishi wapi? Ebu nipe mfano wa Kiongozi yeyote Mzalendo wa nchi yake ambaye familia yake inaishi nje ya nchi yake! Mfano mmoja tu nami ntamuunga mkono Lissu. Usiponipa mfano mmoja tu, nitakupotezea maana sijibizani na nyumbu! Ahahahahaha!!!
Jiulize kwanza alifikaje huko? Hivi unadhani ilikuwa rahisi familia kuiacha hapa ambapo mtoa roho ana kiu ya damu?
 
Kwani kuwa na urafiki na abdul ni kosa la jinai ??? Kwani huyo Lissu akiwa na mtoto halafu huyo mtoto akapata rafiki mtoto wa rais ni kosa la jinai ?? Tuacheni upuuzi.Abdul ni raia wa nchi hii na ana haki ya kuwa na rafiki wa aina yeyote anaemkubali.Mi naona Huyu Lissu sasa anapotoka.Kwani kusaidiwa na Abdul kuna Ubaya gani ?? After all Abdul yuko karibu na mama yake hivo ni rahisi kumuomba mama naomba umsaidie Lissu ! Kwani kuna ubaya gani Abdul akimuomba mama yake msaada ??? Na huyo Lissu nae anatamaa sana kama alichangiwa na watanzania matibabu yake sasa anakuja kudai nini tena na wakati alishatibiwa na akapona ?? Kina cho onekana hapa ni tamaa tu ! Anapiga kele nyiiiingi eti stahiki zangu stahiki zangu ! Sasa hapo wenye akili kubwa wanamuona huyu hafai !
Ana kifkra za kijima sana. Anajiwaza yeye tu na si wananchi.
Sasa kama saa hizi eti yupo Cub house ! anafanya nini ???
Club house haitampa kura anazidi kujiumbua tu.
 
Akiongea na wananchi kupitia Sauti ya Watanzania. Mheshimiwa Lissu ameongea kwa kirefu sana jinsi Wenje alivyomleta Abduli kwake.

Hapa chini kuna sauti ya Lissu akilizungumzia suala hilo kwa kirefu sana.

Sikiliza hapa:

View attachment 3183682
View attachment 3183683
View attachment 3183684
Wanje ni tapeli wa kisiasa, ikumbukwe mara ya kwanza anagombea ubunge alishinda ila alichokifanya amajua na Mungu wake , hatua ya pili wananchi walikataa na Weje alitangazwa na kua mbunge , nisemapo hatjui dunia muwe mwaelewa.

Inawezakan vipi , umeenda kwa sherehe ,unatambulishwa , na mda huo unaanza chomekea madai ya ndugu yako , hakuna urafiki wa ghafla wa kiasi ichi ,hakuna duniani kote , nilazima mtabadishana no , mengine yanakuja badae.

Wenje ni tapeli wa kisiasa , kwangu sioni shida ya wenje kuwa karibu na Abdul ,hii sio hoja.

Kuna bwana mdogo alijulikana kwa jina Omary , Tanga Muheza ,uyu enzi za kikwete alikua hagusiki so kila enzi na zama zake
 
Siwezi kuwa Mwana CCM halafu nikawa nyumbu. Nyumbu ni ninyi Chadema. Mlimfanya Mbowe kama Mungumtu leo mnamshangaa kujiona Mungumtu! Ahahahahaha!!!
Ila kweli kauli zao za "Mwamba tuvushe" za kumuumbia U-Mungu mtu leo zinawatafuna .. wakati wao wanatafuta ukombozi yeye anatafuta maokoto.. hana cha kupoteza, ndio maana akipanda majukwaa ni kurusha vijembe kwa Hayati Magufuli hajali Magufuli Effect ilivyo random access ndani ya nchi na hata akigombea urais hategemei kura kutoka kwenye kundi hilo..
 
Wewe hujamwelewa vizuri, msikilize Tena vizuri kwa utulivu utamwelewa lissu
Rejea maelezo ya Lissu kuanzia huko nyuma kuhusu sakata hili usiangalie tu sasa amesema nini clubhouse/Maria space rejea nyuma kabisa baada ya Wenje kufanya mahojiano.
 
Mbinu zao za ajabu sana, hazina aina yoyote ya kuthibitika, wanataka tuamini tu hivyo hivyo wanavyosema.

YAni akisema Lusu ni ukweli, hata bila vithibitisho.
Lissu anasema Abdul alipelekwa kwake na kiongozi wa CDM, hili ni kweli ama si kweli!!???
 
Mkuu unamwamini Lissu?
Aliyevujisha habari ya Abdul kupelekwa kwa Lissu na kiongozi wa CDM ni nani!!?
Je, imethibitishwa kuwa ni kweli ama si kweli!!??
Kama ni kweli,kwa nini tusiendelee kumuamini huyu mtu aliyemwaga ukweli hadharani mara ya kwanza!!??
 
Y

Pole Sana, humjui lissu
Tunamjua Lisu juzi kati tu kasema anataka anashilikiana na yule mzungu wake kuishtaki Serikali ktk swala la tigo alikuwa akiongea kwa mbwembwe kuwa namnukuu, apa najua nitalipwa mipesa mingi sana yani Watanzania pesa zetu badala zielekwezwe kwenye shule mikopo mahospitali Yeye Lisu anataka ziende mfukoni kwake!!! Sio njaa iyo.
 
Back
Top Bottom