Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.